johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni nane ila ikikatwa 6 ila wanamaslah makaliUchawa huu ni hovyo sana, yaani mlevi huyu amejitoa ufahamu kisa mshahara wa ukuu wa mkoa wa milioni 6
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki
RC Chalamila amesema Petro alimkatisha tamaa Yesu Kristo na Laiti Mwana wa Mungu angemsikiliza basi Ukombozi wa Dunia usingepatikana Lakini Masihi alimwambia Petro " Shetani toka"
Hivyo mh Rais hawa Wakatishaji tamaa hawajaanza leo walikuwepo tangu wakati wa Yesu Usiwasikilize, amesema Albert Chalamila
Source: TBC
😂😂😂Yesu hakumaanisha kuwa Petro ni shetani bali alimaanisha aondoke shetani aliyetamka maneno dhidi ya Yesu kupitia mdomo wa Petro! Hilo ndilo Chalamila asilolielewa. Anajiropokea tu!
Kaka acha kuelimisha watu unakoseaYesu hakumaanisha kuwa Petro ni shetani bali alimaanisha aondoke shetani aliyetamka maneno dhidi ya Yesu kupitia mdomo wa Petro! Hilo ndilo Chalamila asilolielewa. Anajiropokea tu!
Unasomaga Biblia Lakini?Kavimbiwa madaraka huyo. Bila shaka ananeemeka pakubwa
Zamani wakuu wa mikoa walikuwa watu wa maana sana.Huyu bwana mdogo, avue cheo cha serikali ili agombee ubunge.
Hspo atajijua level yake.
Hana ujinga wowote ila nadhani huwa mnashindwa tu kumuelewa , chalamila ni mtu mmoja poa sana na anajua kubalance mambo katika uongozi wakeHilo jinga hua nikiliangalia hadi kichefuchefu.
Kwa hiyo, anamaanisha Yesu alimchagua 'shetani' kuwa kiongozi wa kanisa maana Yesu mwenye alimwambia Petro "Nami nakuambia wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu na wala milango ya kuzimu haitalishinda" (Matayo 16:18).Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki
RC Chalamila amesema Petro alimkatisha tamaa Yesu Kristo na Laiti Mwana wa Mungu angemsikiliza basi Ukombozi wa Dunia usingepatikana Lakini Masihi alimwambia Petro " Shetani toka"
Hivyo mh Rais hawa Wakatishaji tamaa hawajaanza leo walikuwepo tangu wakati wa Yesu Usiwasikilize, amesema Albert Chalamila
Source: TBC
W3 umejuaje kama Petro hakuwa shetani mwenyewe? Nyie ndo mnaotudanganyaga kwenye biblia as if mnaongea na mungu daily kwamba "nilikuwa na maana hii".Yesu hakumaanisha kuwa Petro ni shetani bali alimaanisha aondoke shetani aliyetamka maneno dhidi ya Yesu kupitia mdomo wa Petro! Hilo ndilo Chalamila asilolielewa. Anajiropokea tu!
Shetani ni roho!W3 umejuaje kama Petro hakuwa shetani mwenyewe? Nyie ndo mnaotudanganyaga kwenye biblia as if mnaongea na mungu daily kwamba "nilikuwa na maana hii".
W3 umejuaje kama Petro hakuwa shetani mwenyewe? Nyie ndo mnaotudanganyaga kwenye biblia as if mnaongea na mungu daily kwamba "nilikuwa na maana hii".