johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki
RC Chalamila amesema Petro alimkatisha tamaa Yesu Kristo na Laiti Mwana wa Mungu angemsikiliza basi Ukombozi wa Dunia usingepatikana Lakini Masihi alimwambia Petro " Shetani toka"
Hivyo mh Rais hawa Wakatishaji tamaa hawajaanza leo walikuwepo tangu wakati wa Yesu Usiwasikilize, amesema Albert Chalamila
Chanzo: TBC