RC Chalamila: Rais hawajaanza kukukatisha tamaa wewe, hata Yesu alikatishwa tamaa na Petro na Kristo akamwambia "Toka Shetani"

Kwa hiyo, anamaanisha Yesu alimchagua 'shetani' kuwa kiongozi wa kanisa maana Yesu mwenye alimwambia Petro "Nami nakuambia wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu na wala milango ya kuzimu haitalishinda" (Matayo 16:18).

Maneno ya shetani yalipitia kwenye kinywa cha Petro na ndiyo Yesu alikuwa akikemea na kumtoa huyo shetani ila Petro alimpenda sana Yesu!
 
Hana ujinga wowote ila nadhani huwa mnashindwa tu kumuelewa , chalamila ni mtu mmoja poa sana na anajua kubalance mambo katika uongozi wake

Poa katika wendawazimu anaoropoka akiwa ametoka kulewa?
 
Masikini 🤣👆👆🤣🤣 Rais anapangwa kisawasawa!! NB: Epukeni machawa ndug zang, hamtojua kama kuna mahali mmekosea maan machawa wao watakusifia mwanzo mwisho!!!
 
Chalamila rafiki yangu sana ila anautani mwingi katika uongozi mpaka katika maisha ya mtaani, afungwe breki
 
Chalamila rafiki yangu sana ila anautani mwingi katika uongozi mpaka katika maisha ya mtaani, afungwe breki
Baada ya kupigwa bench yeye na Kasesela wakafanyiwa maombezi na Mtume Mwamposa ndio Kasesela akapata unec na huyu Albert akarudishwa kwenye uRC
 
Chizi kavamia Dar
 
Wewe ulimuona Yesu amenfukuza Petro katika maisha yake! Si ndiye alimwbia wewe Petro ni mwamba na katika mwamba huu nitalijenga kanisa langu? Nyoko wewe!
Huyu mkuu wa mkoa hajui anachotakiwa kukifanya kwa wananchi matokeo yake amegeuka ni zumari kutetea unga. Atakaa muda mfupi sana kwenye jiji hilo lenye karaha na watu werevu wengi. Anatumia sana ubabe badala ya kutumia akili kuongoza yatamshinda
 
Huyu shida yake ni matani ya kitaa kwenda nayo ofisin, Chalamila kitaa yupo vizuri sana , may be huwa anajisahau,
Mfano juzi boss wake anakemea vitendo vya police , yeye anatoa mapingamizi , ila mtu poa sana tu
 
Apunguze kunywa Mkangafu siku Moja Moja anywage Mbege!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…