Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Jibu ndio maokoto hayajawi muacha mtu salamaKama taifa tuna hali mbaya kama hadi mkuu wa mkoa anakua chawa kiasi hiki sisi jobless tufanyaje sasa
Ni hiyo million sita tu kwa mwezi inamfanya hivi ama kuna kingine anapata.
Nimekuelewa mkuu basi tusimlaumu sana mzee wetuJibu ndio maokoto hayajawi muacha mtu salama
Mzee yupi mkuuNimekuelewa mkuu basi tusimlaumu sana mzee wetu
Huyu RC wa DSM ama hajafikia umri wa kuitwa mzeeMzee yupi mkuu
Kwani karopoka nini?Poa katika wendawazimu anaoropoka akiwa ametoka kulewa?
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki
RC Chalamila amesema Petro alimkatisha tamaa Yesu Kristo na Laiti Mwana wa Mungu angemsikiliza basi Ukombozi wa Dunia usingepatikana Lakini Masihi alimwambia Petro " Shetani toka"
Hivyo mh Rais hawa Wakatishaji tamaa hawajaanza leo walikuwepo tangu wakati wa Yesu Usiwasikilize, amesema Albert Chalamila
Source: TBC
Chawa mwingine huyu anayeendeshwa na mihemko ya bangi anazovutia chooniMkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki