RC Chalamila: Rais hawajaanza kukukatisha tamaa wewe, hata Yesu alikatishwa tamaa na Petro na Kristo akamwambia "Toka Shetani"

Kama taifa tuna hali mbaya kama hadi mkuu wa mkoa anakua chawa kiasi hiki sisi jobless tufanyaje sasa

Ni hiyo million sita tu kwa mwezi inamfanya hivi ama kuna kingine anapata.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki

RC Chalamila amesema Petro alimkatisha tamaa Yesu Kristo na Laiti Mwana wa Mungu angemsikiliza basi Ukombozi wa Dunia usingepatikana Lakini Masihi alimwambia Petro " Shetani toka"

Hivyo mh Rais hawa Wakatishaji tamaa hawajaanza leo walikuwepo tangu wakati wa Yesu Usiwasikilize, amesema Albert Chalamila

Source: TBC
 
Chawa mwingine huyu anayeendeshwa na mihemko ya bangi anazovutia chooni
 
Back
Top Bottom