Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika shuleni hapo kukutana na viongozi wa mamlaka za Manispaa na baadhi ya wawakilishi wa wazazi na kusisitiza kuwa hakuna mpango wowote wa kuuza shule hiyo.
Hatua za ukarabati zilizoanza kufanyika katika shule hiyo na uvumi wa kuhamishwa kwa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo ziliwashtua wazi na wananchi wa eneo hilo na kuhisi kuwa shule hiyo imeuzwa kwa muwekezaji.
~ Halmashauri Ya Ubungo yakanusha taarifa za kuuza shule ya Msingi Ubungo NHC
~ Taharuki yazuka, Wazazi wajaa Shule ya Msingi Ubungo NHC baada ya taarifa kuwa shule inauzwa