RC Chalamila: Sitamchekea mkandarasi yeyote, naweza kutumia makofi, Sisi sio wajinga

RC Chalamila: Sitamchekea mkandarasi yeyote, naweza kutumia makofi, Sisi sio wajinga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kushtukiza katika barabara ya mwendokasi Moroco hadi Mwenge anoesha kutoridhiswa na kasi mkandarasi na kumtaka kuharakisha mradi huo na kukamilika kwa kiwango ili kupunguza changamoto kwa wakazi wa mkoa huo.

Chalamila ameyasema hayo leo hii tarehe 11 februari, 2026 Jijini dar es salaam wakati akifanya ziara katika wilaya ya kinondoni.


 
Hivi mkuu wa mkoa kisheria anaweza jichukulia sheria mkononi kumchapa mtu makofi?
 
Usitegemee Sheria ifuatwe na maharamia waliojipachika madarakani kwa nguvu ya bunduki.
Kiongozi anapaswa awe kioo cha jamii , sasa akimkuta raia anajichukulia sheria mkono atamshauri nini?
 
Kiongozi anapaswa awe kioo cha jamii , sasa akimkuta raia anajichukulia sheria mkono atamshauri nini?
Alaf huyu kwa kujifanya anayaweza mambo ngumi mtu mbili 😄
Mikwala mingi

Ova
 
Kwani lazima ufoke foke,I’m sure kuna namna ya kumwajibisha contractor lakini hawatafanya kwa sababu kufoka foka ni nzuri kisiasa
 
Back
Top Bottom