Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usitegemee Sheria ifuatwe na maharamia waliojipachika madarakani kwa nguvu ya bunduki.Hivi mkuu wa mkoa kisheria anaweza jichukulia sheria mkononi kumchapa mtu makofi?
Kwa utawala huu wa banana republic lolote linawezekana.Hivi mkuu wa mkoa kisheria anaweza jichukulia sheria mkononi kumchapa mtu makofi?
Kiongozi anapaswa awe kioo cha jamii , sasa akimkuta raia anajichukulia sheria mkono atamshauri nini?Usitegemee Sheria ifuatwe na maharamia waliojipachika madarakani kwa nguvu ya bunduki.
Hana jeuri ya kumgusa huyu mchina,angemgusa angeshukiwa kama mweweHivi mkuu wa mkoa kisheria anaweza jichukulia sheria mkononi kumchapa mtu makofi?
Alaf huyu kwa kujifanya anayaweza mambo ngumi mtu mbili 😄Kiongozi anapaswa awe kioo cha jamii , sasa akimkuta raia anajichukulia sheria mkono atamshauri nini?
Mhm , hata mimi angenipiga kofi nafikiri siku hiyo hiyo ningeuwawa tu.Hana jeuri ya kumgusa huyu mchina,angemgusa angeshukiwa kama mwewe
Ova
Mambo ya Dr kleruuMhm , hata mimi angenipiga kofi nafikiri siku hiyo hiyo ningeuwawa tu.