PostGE2025 RC Chalamila: Ukiona vyombo vya dola uraiani vipe ushirikiano ukihisi kuna makundi ya watu hayaeleweki vizuri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari, ametoa wito kwa wakazi wa Dar kuripoti kwa vyombo vya dola makundi ya watu ambayo hayaeleweki vizuri ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa kwa yeyote ambaye bado ana viashiria vya kuvunja amani katika mkoa.

Your browser is not able to display this video.
 
Wewe mkuu wa mkoa Vyombo vya usalama vinalinda nini wakati vinauwa watu hadi kwenye makazi yao hatuna haja navyo visiingie mitaani vina damu za raia.

Hatuna shida na wauwaji sisi,
 
Hamna kitu kibaya kama Daktari kukosea uchunguzi wa ugonjwa!

Atahangaika kutibu Malaria kumbe mgonjwa wana U.T.I

Hili la serikali kuamini kuwa kuna watu wametumwa na wamejazana kwenye magesti wakisubiri kufanya vurugu ni misdiagnosis mbaya sana.
 
Hamna kitu kibaya kama Daktari kukosea uchunguzi wa ugonjwa!

Atahangaika kutibu Malaria kumbe mgonjwa wana U.T.I

Hili la serikali kuamini kuwa kuna watu wametumwa na wamejazana kwenye magesti wakisubiri kufanya vurugu ni misdiagnosis mbaya sana.
Hakuna ushirikiano utapata kutoka kwetu mzee
 
Aisee nimefurahi sana ambavyo wananchi tumeamua kuwachanua hawa the so called vyombo vya usalama.
Yani sasa hivi hakuna ushirikiano wanapata kutoka kwa wananchi.
Wanajipitisha tu mitaani huku wananchi hatuna shobo nao
 
Je Ikiwa kundi la viongozi ndiyo halieleweki vizuri?
 
Anaongea kama amekatwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…