PostGE2025 RC Chalamila: Ukiona vyombo vya dola uraiani vipe ushirikiano ukihisi kuna makundi ya watu hayaeleweki vizuri

PostGE2025 RC Chalamila: Ukiona vyombo vya dola uraiani vipe ushirikiano ukihisi kuna makundi ya watu hayaeleweki vizuri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
AISE POLISI NA HAO MAKUND KUNA TOFAUTI
Si rahisi kutofautisha. Chalamila akumbushwe pia kuwa kwa miaka sasa tunaishi na polisi kati kina la wasiojulikana wanaokamatwa rais na kuwaua.
 
Yaani ukawe na ushirikiano na wauaji!! Huko ni kutafuta laana.
 
Hatuko tayari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi ambavyo vipo kwa ajili ya kuwalinda watawala na kuawaua raia.

Ila tuko tayari kutoa ushirikiano wa dhati kabisa kwa vikundi kama vya kupigania uhuru kama M23 dhidi ya serikali dhalimu ya Idd amin samuya.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari, ametoa wito kwa wakazi wa Dar kuripoti kwa vyombo vya dola makundi ya watu ambayo hayaeleweki vizuri ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa kwa yeyote ambaye bado ana viashiria vya kuvunja amani katika mkoa.

Hawa ndio wameua ndugu zetu kumlinda rais aliyejipitisha!
 
binafsi nikimuona polisi amekamatwa na simba huyo simba namkatia na kachumbari
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari, ametoa wito kwa wakazi wa Dar kuripoti kwa vyombo vya dola makundi ya watu ambayo hayaeleweki vizuri ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa kwa yeyote ambaye bado ana viashiria vya kuvunja amani katika mkoa.

Tunaogopa kutoa ushirikiano kwa watu wanaotuuwa! Never on earth
 
Ukimuona polisi au ccm akiwa peke yake piga mawe sanaaa.

Miuaji hiyo aihitaji kuhurumiwa wala ushirikiano wowote.
 
Ushikiano nitakawo wapa ni kuwalenga na manati na kuwamwagia maji ya betri
 
Hamna kitu kibaya kama Daktari kukosea uchunguzi wa ugonjwa!

Atahangaika kutibu Malaria kumbe mgonjwa wana U.T.I

Hili la serikali kuamini kuwa kuna watu wametumwa na wamejazana kwenye magesti wakisubiri kufanya vurugu ni misdiagnosis mbaya sana.
Unadhani hawajui basi, wamejizima data.
 
Back
Top Bottom