RC Chalamila: Ukiwa mmbea huwezi kuwa na hela mfukoni

RC Chalamila: Ukiwa mmbea huwezi kuwa na hela mfukoni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ukaguzi wa barabara ya Mivumoni, wilayani Kinondoni, na kusisitiza umuhimu wa miradi ya miundombinu katika kuchochea maendeleo ya wananchi.

Amesema ujenzi wa barabara hutoa fursa za ajira kwa vijana, huongeza thamani ya ardhi na nyumba, pamoja na kuchochea shughuli za kiuchumi.

Aidha, ameeleza kuwa kukamilika kwa barabara hiyo kutarahisisha usafiri na usafirishaji, kuvutia wawekezaji na kufungua fursa za biashara. Amewahimiza wakandarasi kukamilisha mradi kwa wakati na kwa ubora ili wananchi waanze kunufaika mapema.

 
Mmbea na chawa na mtu mmoja sema nawe ni walewale chalamila tako lako
 
Huwa naamini huyu bwana hana akili timamu
Uko sahihi kuna stori yake ilishawahi kuwekwa humu ,alibishana na atm ya nmb mpaka card yake ikamezwa wakati anasoma UD .Sasa kuna mtu hapo ?!
 
Back
Top Bottom