RC Chalamila: Umeme Dar upo, shida ni miundombinu

RC Chalamila: Umeme Dar upo, shida ni miundombinu

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Mkuu wa Mkoa wa Jiji kuu la Dar es salaam, mpeni jina zuri kanisa kutokana na kauli zake!
Mimi namuita Profesori.

Hiyo mikoa mingine ambayo hakuna umeme nako ni miundombinu ama umeme umekataa kuingia kwenye mabwawa?

umeme upo wa kutosha kinachofanywa ni kupooza miundombinu iliyopo isipate hitilafu mbona hii ni sayansi ndogo kabisa kueleweka

mweshimiwa yuko sawa naungana nae
 
Pale serikali inapoilaumu serikali kwa kutokuwajibika. Ni shida juu ya shida
 
umeme upo wa kutosha kinachofanywa ni kupooza miundombinu iliyopo isipate hitilafu mbona hii ni sayansi ndogo kabisa kueleweka

mweshimiwa yuko sawa naungana nae
Kwahiyo Kada, TANESCO, MH MAJALIWA, TULIA AKSON, SAMIA SULUHU ni waongo wakubwa walipoliambia taifa kuna mgao kutokana na upungufu wa mvua, mabwawa kutokujaa na ukarabati wa vyanzo vya kinyerezi na Ubungo eeh, haya.
 
Back
Top Bottom