Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kanisa la ufufuo na uzima.Mkuu wa Mkoa wa Jiji kuu la Dar es salaam, mpeni jina zuri Kanisa kutokana na kauli zake!
Mimi namuita Profesori.
Hiyo mikoa mingine ambayo hakuna umeme nako ni miundombinu ama umeme umekataa kuingia kwenye mabwawa?
View attachment 2910773
Ndio tumeomba jina wewe unatoa maelezo.umeme upo wa kutosha kinachofanywa ni kupooza miundombinu iliyopo isipate hitilafu mbona hii ni sayansi ndogo kabisa kueleweka
mweshimiwa yuko sawa naungana nae
Sawa, mheshimiwa injinia.Injinia😆 Nawasalimu kwa jina la Tanesco wote mutikie Mgao uendelee
Jina gani sasa unampa?Pale serikali inapoilaumu serikali kwa kutokuwajibika. Ni shida juu ya shida
Mh . Nut!Nut….
Jina linalomfaa huyu ni MPUUZI NA PUNGUANI hakuna jingineMkuu wa Mkoa wa Jiji kuu la Dar es salaam, mpeni jina zuri kanisa kutokana na kauli zake!
Mimi namuita Profesori.
Hiyo mikoa mingine ambayo hakuna umeme nako ni miundombinu ama umeme umekataa kuingia kwenye mabwawa?
View attachment 2910773
Kwahiyo Kada, TANESCO, MH MAJALIWA, TULIA AKSON, SAMIA SULUHU ni waongo wakubwa walipoliambia taifa kuna mgao kutokana na upungufu wa mvua, mabwawa kutokujaa na ukarabati wa vyanzo vya kinyerezi na Ubungo eeh, haya.umeme upo wa kutosha kinachofanywa ni kupooza miundombinu iliyopo isipate hitilafu mbona hii ni sayansi ndogo kabisa kueleweka
mweshimiwa yuko sawa naungana nae
RC wa Mbeya na Dar wote ni machiziMkuu wa Mkoa wa Jiji kuu la Dar es salaam, mpeni jina zuri kanisa kutokana na kauli zake!
Mimi namuita Profesori.
Hiyo mikoa mingine ambayo hakuna umeme nako ni miundombinu ama umeme umekataa kuingia kwenye mabwawa?
View attachment 2910773