ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar.
Ila naona hekima yake Iko juu sana
Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno.
Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up jambazi n.k
Biashara zinafanyika usiku na mchana,
Ujenzi wa masoko n.k
Nampongeza sana RC CHALAMILA
Viongozi wengine muige huyu mhehe.
Yuko poa kabisa