Punguza Uchawa mtoto kiume...Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar.
Ila naona hekima yake Iko juu sana
Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno.
Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up jambazi n.k
Biashara zinafanyika usiku na mchana,
Ujenzi wa masoko n.k
Nampongeza sana RC CHALAMILA
Viongozi wengine muige huyu mhehe.
Yuko poa kabisa
Hii inataka busara ya kiwango cha juu kabisaShughuli ya kuhamisha Wamachinga Kariakoo inamsubiri huyu Mwamba [emoji209]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kwelii.Punguza Uchawa uchawa wa kiume...
Alichoweza ni kuropoka tu hovyo kama mtu aliyeanza kurukwa na akili..
wewe na chalamila akili zenu zina fanana kuanzia kwenda kujisaidia mpaka kwenda barKiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar.
Ila naona hekima yake Iko juu sana
Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno.
Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up jambazi n.k
Biashara zinafanyika usiku na mchana,
Ujenzi wa masoko n.k
Nampongeza sana RC CHALAMILA
Viongozi wengine muige huyu mhehe.
Yuko poa kabisa
Ila huku Kijitonyama bado naona vibaka wanaongezeka, tunahitaji doria ya ukweli au la serikali ituruhusu tu sie raia kuwaua.Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar.
Ila naona hekima yake Iko juu sana
Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno.
Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up jambazi n.k
Biashara zinafanyika usiku na mchana,
Ujenzi wa masoko n.k
Nampongeza sana RC CHALAMILA
Viongozi wengine muige huyu mhehe.
Yuko poa kabisa
Sawa mkuuKuongoza Dar sio kazi,
1.Unasubiri mafuriko jangwani Fasta unawahi na vijiko kutoa tope pale ufungue njia.
2.Wafanyabiashara wakigoma sio shida kwajo sababu ni TRA.
3.Unasubiri hafla za Rais ualikwe kutoa neno unasema Mkoa uko salama.
4.Shule nyingi za Dar ni nzuri kiasi.