RC Chalamila uwasilishaji wake wa hoja huwa ni wa ovyo sana hata katika mambo ya Msingi

RC Chalamila uwasilishaji wake wa hoja huwa ni wa ovyo sana hata katika mambo ya Msingi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Chalamila ni kituko kweli kweli na hatujui roll model wake ni nani aisee. Uwasilishaji wake wa hoja ni hovyo kabisa.

Matokeo yake hata mambo nyeti yanaonekana ya kawaida, ana bla bla nyingi sana huyu jamaa.

Kuchekesha chekesha watu siyo sifa unatakiwa ulete attention kwenye mambo mazito ili watu wapate ujumbe uliokusudiwa.

IMG-20260303-WA0020(1).jpg
 
Back
Top Bottom