The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Mar 3, 2026 #1 GT Chalamila ni kituko kweli kweli na hatujui roll model wake ni nani aisee. Uwasilishaji wake wa hoja ni hovyo kabisa. Matokeo yake hata mambo nyeti yanaonekana ya kawaida, ana bla bla nyingi sana huyu jamaa. Kuchekesha chekesha watu siyo sifa unatakiwa ulete attention kwenye mambo mazito ili watu wapate ujumbe uliokusudiwa.
GT Chalamila ni kituko kweli kweli na hatujui roll model wake ni nani aisee. Uwasilishaji wake wa hoja ni hovyo kabisa. Matokeo yake hata mambo nyeti yanaonekana ya kawaida, ana bla bla nyingi sana huyu jamaa. Kuchekesha chekesha watu siyo sifa unatakiwa ulete attention kwenye mambo mazito ili watu wapate ujumbe uliokusudiwa.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Mar 3, 2026 #2 Kwamba corolla namba A ni uchafu😁
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 3, 2026 #3 Mambo yake muachie mwenyewe... Cc: Mahondaw