Pre GE2025 RC Chongolo: Amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani

Pre GE2025 RC Chongolo: Amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo.

Akizungumza na kikundi cha bodaboda cha Itumba wilayani Ileje akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo kwa ajili ya kukagua shughuli za maendeleo, Chongolo amewataka waendesha bodaboda kuwa wazalendo na kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha ulinzi hasa mipakani.

Screenshot 2025-02-13 162957.png
 
Back
Top Bottom