Pre GE2025 RC Dk. Batilda: Amewataka wananchi wa Tanga kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao.

Zoezi hilo linatarajiwa kuanza kesho, Februari 13, na kumalizika Februari 19 mwaka huu.

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Kesho tunaanza zoezi la kujiandikisha, hivyo nawasihi wananchi wajitokeze kwa wingi. Pia, tutakuwa na uboreshaji wa taarifa na kampeni mbalimbali za kuhamasisha ushiriki wa wananchi,"
 
Uboreshaji wa taarifa kama zipi mkuu..
mfano Kuna wengine taarifa kama miaka ya kuzaliwa ilikosewa,mahari alipojiandisha zamani sio Sawa na anapotaka kujiandikishia Sasa hii inakaaje
 
Ayaaa vijanaa wa Tanga kazi kwenu kwenda kujiandikisha na kumchagua mumtakae na c yule aliyewaletea drafti na BAO😄 badala ya kuwaleta jembe na mbegu mkalime chakula kipatikane ,yy aliona drafti na BAO ndio mnaitaji zaidii...

Viongozi wa CCM MUNGU anawaonaa km yupo kweli 🤔
 
😄😄 Mbona umejikatiaa tamaa kabisaa mkuu kuhusu hlo swalaa la kujiandikishaa ..au ndio sanduku la kura haliwezi mtoa CCM alipo😄
Tukajiandikishe ili iweje? Kwa Tume ipi? Tanzania kuna uchaguzi au uchafuzi?

Tumeshamuelewa Lissu. No Reform No election
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao.

Zoezi hilo linatarajiwa kuanza kesho, Februari 13, na kumalizika Februari 19 mwaka huu.

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Kesho tunaanza zoezi la kujiandikisha, hivyo nawasihi wananchi wajitokeze kwa wingi. Pia, tutakuwa na uboreshaji wa taarifa na kampeni mbalimbali za kuhamasisha ushiriki wa wananchi,"
Ili iweje!?
 
Back
Top Bottom