Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nukuu:
“Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili ya wimbo wa taifa linaonekana kama ni jambo dogo lakini ni jambo kubwa ambalo linaonesha uzalendo wa Taifa letu.
Kama itawezekana, itungwe adhabu ndogondogo kwa ambao hawataimba na kutii sheria wakati wa wimbo wa Taifa watozwe adhabu ndogo ndogo kama elfu kumi waone kuimba wimbo wa taifa ni haki na sheria.”
RC - DODOMA SENYAMULE