Tetesi: RC Gambo adaiwa kupigwa kwenye Mkutano wa CCM Arusha

Status
Not open for further replies.
Mkuu Chuwa Albert, ulijuaje nawakumbuka RC Chalz Kileo na DC Kasapira?.
Ndugu Paskali, Arusha ya miaka ya 1980 mwanzo hadi mwisho sijui kama itarudi hakika dunia inaenda mbele hairudi nyuma. Lakini katika historia, kuna nafasi ya watu waliojenga kitu fulani, yapasa wakumbukwe kama nakumbuka vema, RDD wa wakati huo hapa Arusha alikuwa Mr. Kyambwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…