johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwenu wamekufa wangapi kwa maambukizi yaliyosababishwa na maombi ya rais Magufuli??Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Maajsbu ya Dunia...sijui Ni mganga kaelekeza?!!Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Ndio unapogundua viongozi wa awamu hii akili hazipo kabisa kabisa.Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Ombi : Wazikwe na serikali tuMkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.
Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona.
Source ITV habari!
Na mida yao ya kuzika simnaijua??Mnatumia nguvu kubwa sana kuficha idadi ya wafao kwa corona.
SHAME ON CCM PATY
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................
Sijui niseme nini... ila dunia ndivyo ilivyo.Ila bar bado ziko wazi, madukani na masokoni nyomi kama kawaida, mikusanyiko ya ibada kama kawaida, kwenye vifodi kama kawaida, restaurants kama kawaida ila kuzika tu ndo ishu.................