Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
The end justifies the means Dogo!Huyu si alikuwa barmaid dini kaijulia wapi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The end justifies the means Dogo!Huyu si alikuwa barmaid dini kaijulia wapi tena?
Dendegu apunguze ujinga Bwana Mtume alikua na wake kumi na mmoja, na Kila mmoja alimuoa kwa sababu zake binafsi. Mtume akawaguza wafuasi wake wawe na wanne tu kwa sababu anazozijua yeye sababu imetakiwa kutohoji maelekeolzo ya Bwana Mtume kwakua ni ya kimungu. Lakini kiuhalisia alioa kujiimarisha kiuchumi, kisiasa na kukidhi matamanio yake ya kimwili! Huku akiimarisha uhusiano wake na wale waliomzunguka wakiwemo maswahaba!Mkuu wa mkoa wa Singida mh Halima Dendegu amewataka Wananchi kujitokeza kupiga Kura 27 November kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa
RC Halima amesema Kupiga Kura ni swala lililoanzishwa na Mungu mwenyewe na hata Hadithi za Dini yake zinasema Mtume Muhammad SAW alipotaka kusafiri Wakeze Walipiga Kura kuamua aongozane na nani miongoni mwao Wanne
Hivyo RC Halima amesema muasisi wa Kura na Uchaguzi ni Mungu mwenyewe
RC Halima Dendegu ameyasema haya Kanisani mbele ya Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa, askofu Dr Bagonza, askofu Dr Shoo na maaskofu wengine zaidi ya 40
Aidha Waumini wa KKKT Dayosisi ya Singida Central Walimtuza Fedha Mtumishi huyo RC Halima Dendegu ambaye naye alimkabidhi askofu Dr Malasusa na kusema huo ni Mchango wake kwa Kanisa japo Kiimani Yeye ni Muislamu
Source Upendo Tv
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Kama una namba ya simu ya Halima Dendegu Naomba unitumie Inbox!Mkuu wa mkoa wa Singida mh Halima Dendegu amewataka Wananchi kujitokeza kupiga Kura 27 November kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa
RC Halima amesema Kupiga Kura ni swala lililoanzishwa na Mungu mwenyewe na hata Hadithi za Dini yake zinasema Mtume Muhammad SAW alipotaka kusafiri Wakeze Walipiga Kura kuamua aongozane na nani miongoni mwao Wanne
Hivyo RC Halima amesema muasisi wa Kura na Uchaguzi ni Mungu mwenyewe
RC Halima Dendegu ameyasema haya Kanisani mbele ya Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa, askofu Dr Bagonza, askofu Dr Shoo na maaskofu wengine zaidi ya 40
Aidha Waumini wa KKKT Dayosisi ya Singida Central Walimtuza Fedha Mtumishi huyo RC Halima Dendegu ambaye naye alimkabidhi askofu Dr Malasusa na kusema huo ni Mchango wake kwa Kanisa japo Kiimani Yeye ni Muislamu
Source Upendo Tv
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Huyu si alikuwa barmaid dini kaijulia wapi tena?
Kwanini Laana Tullah wakati Ndio ukweli! Mohammed alikua dikteta na aliuwa watu sana katika harakati zake za kueneza uislamu! Na alikua hahoijiwi maamuzi yake, lakini Mungu mkubwa ingawa alitamani kufia vitani alikufa kwa tamaa ya chakula. Pale alipolishwa Nyama ya kondoo iliyotiwa Sumu na mwanamke wa kiyahudi baada ya Mohammed na washkaji zake kuichinja familia yake! Ilikua ni kifo Cha aibu kwani sumu Ile ilimtafuna muda mrefu sana mpaka umauti. Mohamed Mtume aliamini atakufa vitani akafia kwenye Nyama.Laana tullah
Waliorekodiwa ni 11 Inaweza kuwa sahihi alikua nao zaidi sababu alipokua akienda vitani yeye na maswahaba wake au companion yake walikua wanafanya kinachoitwa Leo uhalifu wa kivita kwa kutumia ngono kama silaha:Mtume alikuwa na wake zaidi ya 11
Its not about wananchi it about them, is why wananchi hawana umuhim sana kwao😅😅😅
Hivi why hawanaga sababu nzuri za nini wananchi watafaidika na nini iwe nini?
Anawaza ngono tuRC Kavurugwa Sana Anawaza Nini
Ni aibu sn ndiyo maana nchi haina maendeleoHuyu si alikuwa barmaid dini kaijulia wapi tena?
LaanatullahKwanini Laana Tullah wakati Ndio ukweli! Mohammed alikua dikteta na aliuwa watu sana katika harakati zake za kueneza uislamu! Na alikua hahoijiwi maamuzi yake, lakini Mungu mkubwa ingawa alitamani kufia vitani alikufa kwa tamaa ya chakula. Pale alipolishwa Nyama ya kondoo iliyotiwa Sumu na mwanamke wa kiyahudi baada ya Mohammed na washkaji zake kuichinja familia yake! Ilikua ni kifo Cha aibu kwani sumu Ile ilimtafuna muda mrefu sana mpaka umauti. Mohamed Mtume aliamini atakufa vitani akafia kwenye Nyama.
Tusome:
Mtume Muhammad (S.A.W) alikula nyama ya kondoo yenye sumu iliyowekwa na mwanamke Myahudi aliyeitwa Zaynab binti al-Harith. Tukio hili lilitokea baada ya vita ya Khaybar, ambapo Mtume na masahaba wake walialikwa kwa chakula. Zaynab alitumia sumu kwa ajili ya kumnasa Mtume na kudhuru Waislamu, kwa kuwa alikasirika na matokeo ya vita hiyo.
Sababu za Kuweka Sumu
Zaynab binti al-Harith alikusudia kulipiza kisasi kwa kile alichoona kama uvamizi dhidi ya watu wa Khaybar. Alisema alitaka kujua kama Muhammad alikuwa ni nabii wa kweli, kwani aliamini kama ni mtume wa kweli, basi Allah atamuepusha na madhara ya sumu hiyo.
Hadith Zilizorekodi Tukio
1. Sahih Bukhari: Imesimuliwa na Anas bin Malik (R.A), kwamba:
"Mtume alikula sehemu ya nyama ya kondoo ambayo ilikuwa na sumu. Alipoanza kula, alihisi sumu hiyo na alimtahadharisha masahaba wake. Siku za mwisho za maisha yake, Mtume alitaja athari ya sumu hiyo kwa kusema, 'Ninapata maumivu kutokana na sumu niliyokula wakati wa Khaybar.'"
(Sahih Bukhari 4428)
2. Sunan Abu Dawood: Katika hadith nyingine, al-Harith bin Malik anasimulia kwamba Mtume alimuuliza Zaynab kuhusu kitendo chake. Zaynab akajibu:
"Nilitaka kujua kama wewe ni Mtume wa kweli, basi Allah angekuokoa."
(Sunan Abu Dawood 4512)
3. Sahih Muslim: Katika hadith nyingine, Mtume alisema:
"Ninapata uchungu kutokana na athari ya sumu niliyokula katika Khaybar. Na sasa nahisi kama sumu hiyo inapunguza nguvu zangu."
(Sahih Muslim 2190)
Kabla ya 2030 tutafanikiwa kupata sheheh wa mkoa WanamkeMkuu wa mkoa wa Singida mh Halima Dendegu amewataka Wananchi kujitokeza kupiga Kura 27 November kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa
RC Halima amesema Kupiga Kura ni swala lililoanzishwa na Mungu mwenyewe na hata Hadithi za Dini yake zinasema Mtume Muhammad SAW alipotaka kusafiri Wakeze Walipiga Kura kuamua aongozane na nani miongoni mwao Wanne
Hivyo RC Halima amesema muasisi wa Kura na Uchaguzi ni Mungu mwenyewe
RC Halima Dendegu ameyasema haya Kanisani mbele ya Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa, askofu Dr Bagonza, askofu Dr Shoo na maaskofu wengine zaidi ya 40
Aidha Waumini wa KKKT Dayosisi ya Singida Central Walimtuza Fedha Mtumishi huyo RC Halima Dendegu ambaye naye alimkabidhi askofu Dr Malasusa na kusema huo ni Mchango wake kwa Kanisa japo Kiimani Yeye ni Muislamu
Source Upendo Tv
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Tena atoke ZanzibarKabla ya 2030 tutafanikiwa kupata sheheh wa mkoa Wanamke