BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria.
Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe. Wote mnakaribishwa.
"Msaada wa Kisheria kwa Haki, Usawa, Amani na Maendeleo."
Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe. Wote mnakaribishwa.
"Msaada wa Kisheria kwa Haki, Usawa, Amani na Maendeleo."