NI aibu kwa mkuu wa mkoa iringa kutetea wabadhilifu wa fedha za umma mkoani iringa, jengo la bwalo tayari zimeshatafinwa sh milion 431 ujenzi hauleweki mkuu wa mkoa yupo Tu anapunga kiyoyozi ndani ya ofisi madawati yaliyotengenezwa hayana ubora mkuu wa mkoa unatetea waliofanya kazi hiyo ! Fedha za serikali anafahamu kuwa hazitolewi kama njugu mawe kinajulikana NI kwamba fedha hutokewa kwa mradi husika iweje mbele ya waziri mkuu unaongea kwamba walijishau ! Kwa kuangalia kashifa mbalimbali ambazo zimeibuliwa katika ziara ya waziri mkuu hadi Leo serukamba ilitakiwa awe amejuzuru na sivinginevyo.