Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Mno, aise mnyonge mnyongeniTumbili yupo vizuri
RC akitoa tamko,Katibu tawala anawaandikia barua,lakini hawasubiri barua,Takukuru ni chombo cha uchunguzi.RC ni mwakilishi wa RaisAaaaha! TAKUKURU anao kwenye vikao deilee, kaona afufuke, hasikiki!
Nje ya mada, hivi TAKUKURU huwa wanachunguza vitu randomly tu tokea kwenye matamko. Au huwa wana utaratibu rasmi!? Wa memo na maelekezo ya maandishi!?!
Haaaa atamchunguza nani ikiwa mwenye bei hayupo na aliyefikwa na bei salio bado linasomaHuyu Naye Alifika Bei Kwanini Asiseme Wachunguze Hilo
Ukiona hivyo 10% ya ujenzi hajapewa ni mla rushwa mzuri snAaaaha! TAKUKURU anao kwenye vikao deilee, kaona afufuke, hasikiki!
Nje ya mada, hivi TAKUKURU huwa wanachunguza vitu randomly tu tokea kwenye matamko. Au huwa wana utaratibu rasmi!? Wa memo na maelekezo ya maandishi!?!
Wewe ni mshamba kama wenzako, 100% RC anataka toka kwa nani?Ukiona hivyo 10% ya ujenzi hajapewa ni mla rushwa mzuri sn
Wewe ndiyo Kafulila mwenyeweWewe ni mshamba kama wenzako, 100% RC anataka toka kwa nani?
πππ SawaWewe ndiyo Kafulila mwenyewe
Uko sahihi kabisa,Kafulilaaaa on his best.....tuache unafiki
Tuliaπππ Sawa
Tulia nini?Tulia
We Jamaa kila kitu huwa unapingaUkiona hivyo 10% ya ujenzi hajapewa ni mla rushwa mzuri sn
Sana dia,Daah, huyu Mwamba anastahili pongezi tukiacha unafiki,