| Eneo | 2020 (%) | 2025 (%) | Ongezeko |
|---|---|---|---|
| Mijini | 85% | 93% | +8% |
| Vijijini | 76% | 83% | +7% |
| Mradi | Mahali | Thamani (Tshs Bil.) | Utekelezaji |
|---|---|---|---|
| Upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini | Bukoba Mjini | 3.1 | 100 |
| Mradi wa maji Kyaka – Bunazi | Missenyi | 15.71 | 100 |
| Mradi wa maji wa Miji ya Kayanga – Omurushaka | Karagwe | 64.2 | 64% |
| Mradi wa maji wa Kemondo | Bukoba Vijijini | 4.57 | 100 |
Kwani kabla ya huyo Rais wenu Samia, miradi ya maendeleo ilikuwa haitekelezwi? Na kama ilikuwa haitekelezwi, ni kwa sababu ya udhaifu wa serikali yako ya ccm, ambayo ipo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 sasa.kwani kabla ya Rais Samia wananchi hawakutoa kodi?
Kwa matokeo haya hata kama angekuwa ni wa CHADEMA tungemchagua tenaKwani kabla ya huyo Rais wenu Samia, miradi ya maendeleo ilikuwa haitekelezwi? Na kama ilikuwa haitekelezwi, ni kwa sababu ya udhaifu wa serikali yako ya ccm, ambayo ipo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 sasa.
Tufanye kazi Kwa bidiiKwa matokeo haya hata kama angekuwa ni wa CHADEMA tungemchagua tena
Miaka 60 ya utawala wa ccm ,leo unadai kagera kubwa ?kagera Kubwa sana
Halafu huyu Hajat RC pamoja na kujipendekeza kwake katika ujumbe wake huo, anashindwa kujua kuwa Tatizo la Maji Mkoano Kagera pamoja na kuwa na vyanzo vingi vikubwa tu, hakuna Awamu ya uongozi ambayo imeweza kulipatia ufumbuzi, tangia awamu ya I, leo hii watu wa Nzega, Tabora , Igunga wanapatiwa maji toka Ziwa Victoria, sisi tulioko Kiilomtre zero tunaishia bado kutumia maji ya kutokwa kwenye madinbwi, na kununua dumu la litre 20 kwa Tzsh 500 hadi 1000/=. Ni Aibu kwa viongozi wetu hasa wabunge, akina Bashungwa and colleagues. It is a shame. I dont buy that this Government will get it solved once and for all, 60 Years after independence bado tunalalamikia upatikanaji Maji kwenye Mamlaka ya Miji na Halmashauri zetu, achilia mbali huko vijijini Hapa Kagera. Prof Tibaijuka mama wa visenti vya mboga mboga, na Mh Lucy Msafiri aliwahi kuliongela Bungeni kuwa wanawake wa Kagera hatuna Maji, Mh Ndugai ( RIP)akadhihaki kwamba hebu rudia hapo na wabunge wakasihia kuleta utani kwenye jambo serious kama hili. Ni kweli wanawake wa Kagera hawana maji, not a joke, wanapata shida sana majumbani.Kweli kujipendekeza kunahitaji mtu kujitoa ufahamu. Hela zimetokana na kodi za wananchi, lakini sifa anapewa Samia!
Unauliza swali na jibu unalo! RC Kagera ndiye anaye jipendekeza. Hizo hela zinatokana na kodi za wananchi. Na serikali ndiyo inayo tekeleza hiyo miradi. Siyo hela za Samia.nani ajipendekeza sasa hapo?
Wewe unayesema ilikuwa unaishi Kagera ya wapi, hakuna HALMASHAURI YA MJI wala Mamlaka za miji midogo ukiacha huko vijini, ambako kuna uhakika wa supply ya maji ya uhakika, Mwaka 2005 wakati Mh JK anakuja Kagera kuomba Kura aliahidi kwamba atalimaliza tatizo hili wakati wa kampeni zake, ila miaka 10 ilimalizika na akaogopa hata kuja kuaga maana alijua ataulizwa, the same situation hadi leo.ilikuwa ila kwa sasa hakuna hiyo shida tena