Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Unauliza swali na jibu unalo! RC Kagera ndiye anaye jipendekeza. Hizo hela zinatokana na kodi za wananchi. Na serikali ndiyo inayo tekeleza hiyo miradi. Siyo hela za Samia.
Huyo anayetetea hajui hali ya wananchi wetu almost kwenye nchi nzima bado maji ni tatizo, pamoja na jitihada zinazofanywa na serikali, let us be fair.Miaka 60 ya utawala wa ccm ,leo unadai kagera kubwa ?
Mradi wa Maji Kyaka-Bunazi wa almost TZS 5 Bln mbona Hayati JPM aliacha umekamilishwa na Wachina kama mnakumbuka vizuri alivyowachimba mkwara wakati akiwa na stop over pale Kyaka in 2020 before his death?
==
Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo hali ya upatikanaji imeongezeka kutoka asilimia 85 hadi asilimia 93 mijini na kutoka asilimia 76 hadi asilimia 83 vijijini.
Jumla ya miradi 41 ya maji imetekelezwa, ikijumuisha miradi 23 vijijini na 18 mijini, yenye thamani ya Tshs bilioni 164.7. Miongoni mwa miradi mikubwa iliyotekelezwa ni pamoja na upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini TZS3.1bn na mradi wa maji Kyaka–Bunazi wilayani Missenyi TZS15.71bil, ambayo yote imekamilika. Miradi mingine ni ule wa Miji ya Kayanga–Omurushaka (Karagwe) wenye thamani ya TZS64.2bn na umefikia asilimia 64 ya utekelezaji, pamoja na mradi wa maji wa Kemondo (Bukoba Vijijini) ambao umetumia TZS4.57bn na umekamilika kwa asilimia 100 kwa mujibu wa mkuu wa Mkoa Jumla ya TZS 184.8bn zimetolewa kwa ajili ya miradi ya maji mkoani Kagera chini ya Rais Samia.
Eneo 2020 (%) 2025 (%) Ongezeko Mijini 85% 93% +8% Vijijini 76% 83% +7% Utekelezaji wa Miradi
- Jumla ya miradi minne (41) imetekelezwa:
- Mijini: 18 miradi
- Vijijini: 23 miradi
- Thamani ya jumla: Tshs Bilioni 164.7
Baadhi ya Miradi Mikubwa ya Maji na halzi zao,
Mradi Mahali Thamani (Tshs Bil.) Utekelezaji Upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini Bukoba Mjini 3.1 100 Mradi wa maji Kyaka – Bunazi Missenyi 15.71 100 Mradi wa maji wa Miji ya Kayanga – Omurushaka Karagwe 64.2 64% Mradi wa maji wa Kemondo Bukoba Vijijini 4.57 100
Kizimkazi Modern taarab.wasanii wa bendi gani?
kwani kabla ya Rais Samia wananchi hawakutoa kodi?
Sio mmepokea hizo ni hela zenu mnazolipa Kodi,kwani nyie hamlipi kodi
==
Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo hali ya upatikanaji imeongezeka kutoka asilimia 85 hadi asilimia 93 mijini na kutoka asilimia 76 hadi asilimia 83 vijijini.
Jumla ya miradi 41 ya maji imetekelezwa, ikijumuisha miradi 23 vijijini na 18 mijini, yenye thamani ya Tshs bilioni 164.7. Miongoni mwa miradi mikubwa iliyotekelezwa ni pamoja na upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini TZS3.1bn na mradi wa maji Kyaka–Bunazi wilayani Missenyi TZS15.71bil, ambayo yote imekamilika. Miradi mingine ni ule wa Miji ya Kayanga–Omurushaka (Karagwe) wenye thamani ya TZS64.2bn na umefikia asilimia 64 ya utekelezaji, pamoja na mradi wa maji wa Kemondo (Bukoba Vijijini) ambao umetumia TZS4.57bn na umekamilika kwa asilimia 100 kwa mujibu wa mkuu wa Mkoa Jumla ya TZS 184.8bn zimetolewa kwa ajili ya miradi ya maji mkoani Kagera chini ya Rais Samia.
Eneo 2020 (%) 2025 (%) Ongezeko Mijini 85% 93% +8% Vijijini 76% 83% +7% Utekelezaji wa Miradi
- Jumla ya miradi minne (41) imetekelezwa:
- Mijini: 18 miradi
- Vijijini: 23 miradi
- Thamani ya jumla: Tshs Bilioni 164.7
Baadhi ya Miradi Mikubwa ya Maji na halzi zao,
Mradi Mahali Thamani (Tshs Bil.) Utekelezaji Upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini Bukoba Mjini 3.1 100 Mradi wa maji Kyaka – Bunazi Missenyi 15.71 100 Mradi wa maji wa Miji ya Kayanga – Omurushaka Karagwe 64.2 64% Mradi wa maji wa Kemondo Bukoba Vijijini 4.57 100
Kazi zikifanyika hazihitaji kusifu na kuabudu mkuu….zinajitangaza zenyewekazi zimefanyika
Mtu akitumia nguvu nyingi kuleta taarifa, huwa naamini kwamba taarifa hizo zinao uongo mwingi sana, hazijitoshelezi.taarifa ni muhimu
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:
==
Akiongea na wanahabari, Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo hali ya upatikanaji imeongezeka kutoka asilimia 85 hadi asilimia 93 mijini na kutoka asilimia 76 hadi asilimia 83 vijijini.
Jumla ya miradi 41 ya maji imetekelezwa, ikijumuisha miradi 23 vijijini na 18 mijini, yenye thamani ya Tshs bilioni 164.7. Miongoni mwa miradi mikubwa iliyotekelezwa ni pamoja na upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini TZS3.1bn na mradi wa maji Kyaka–Bunazi wilayani Missenyi TZS15.71bil, ambayo yote imekamilika. Miradi mingine ni ule wa Miji ya Kayanga–Omurushaka (Karagwe) wenye thamani ya TZS64.2bn na umefikia asilimia 64 ya utekelezaji, pamoja na mradi wa maji wa Kemondo (Bukoba Vijijini) ambao umetumia TZS4.57bn na umekamilika kwa asilimia 100 kwa mujibu wa mkuu wa Mkoa Jumla ya TZS 184.8bn zimetolewa kwa ajili ya miradi ya maji mkoani Kagera chini ya Rais Samia.
Eneo 2020 (%) 2025 (%) Ongezeko Mijini 85% 93% +8% Vijijini 76% 83% +7% Utekelezaji wa Miradi
- Jumla ya miradi minne (41) imetekelezwa:
- Mijini: 18 miradi
- Vijijini: 23 miradi
- Thamani ya jumla: Tshs Bilioni 164.7
Baadhi ya Miradi Mikubwa ya Maji na halzi zao,
Mradi Mahali Thamani (Tshs Bil.) Utekelezaji Upanuzi wa mradi wa maji Bukoba Mjini Bukoba Mjini 3.1 100 Mradi wa maji Kyaka – Bunazi Missenyi 15.71 100 Mradi wa maji wa Miji ya Kayanga – Omurushaka Karagwe 64.2 64% Mradi wa maji wa Kemondo Bukoba Vijijini 4.57 100
Acha uchawa 🤮🤮kwani kabla ya Rais Samia wananchi hawakutoa kodi?
Iwe mwisho na mwanzo kuni reply ungese wako ,sawaaa wewe kiazi?Kagera mama Kafanya mambo mengi sana