GE2025 RC Kanali Evans Mtambi: Ukipandisha homa ya uchaguzi, usilete fujo tutakushughulikia

GE2025 RC Kanali Evans Mtambi: Ukipandisha homa ya uchaguzi, usilete fujo tutakushughulikia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa onyo kali kwa watu wote watakaothubutu kuvuruga amani kwa kile alichokiita homa ya uchaguzi akisema Serikali haitamvumilia yeyote atakayehatarisha utulivu katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

Akizungumza Oktoba 16, 2025, katika ukumbi wa Mwembeni Complex, wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya walimu kutoka mikoa minane ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Magharibi, Mtambi alisema kwa sasa vyama vyote vya siasa mkoani humo vinaendelea na kampeni zao kwa amani, jambo linalodhihirisha ustawi wa demokrasia katika Mkoa wa Mara

“Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa, niwatanabaishe wale ambao wakati wa uchaguzi homa ya uchaguzi hupanda na kuwakimbilia kichwani hadi kuleta malaria ya kisiasa- wakaamua kufanya mambo yasiyokubalika katika jamii yetu. Nitumie nafasi hii kuwaonya, homa hiyo ikikupanda tafakari vizuri sera na itikadi za chama chako, usilete fujo kwenye Mkoa huu wa Mara, tutakushughulikia kwelikweli,” alisema Kanali Mtambi

Mtambi amesisitiza kuwa Mkoa wa Mara utaendelea kuwa mfano wa amani na utulivu, huku akiwataka wananchi na wafuasi wa vyama vya siasa kuendelea kushiriki katika kampeni na uchaguzi kwa kuzingatia sheria na maadili ya taifa


Chanzo: Jambo TV
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom