PreGE2025 RC Katavi afuturisha, awahimiza wananchi kumuombea Rais Samia

PreGE2025 RC Katavi afuturisha, awahimiza wananchi kumuombea Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Lazima utafute namna ya kumsifia mama, la sivyo ugali utakata! :KEKLaugh: :KEKLaugh:

===



Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi kuendelea kumuombea na kumuunga mkono Rais Samia ili aendelee kitimiza maono ya kusogeza huduma bora za kijamii kwa wanakatavi na watanzania kwa ujumla.

Mrindoko Ameyasema hayo katika hafla ya iftari ambayo iliandaliwa na ofisi yake na kuwakutanisha waumini wa dini zote na kusisitiza upendo, amani, utulivu na Ushirikiano ili kuufanya mkoa wa Katavi tuendelee kusongambele kimaendeleo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nae Kaimu Shekh Mkuu wa mkoa wa Katavi amewataka waumini kuendelea kulinda amani hasa kipindi hiki cha uchaguzi huku baadhi ya washiriki wakimshukuru Mkuu wa mkoa kwa kuendelea kuwa kiunganishi cha dini zote ndani ya mkoa wa Katavi.
 
Huenda hiyo iftar imetoka Chamwino,
Juzi kati hapa kuna mtu amesikika akitamka Mh. Mungu, hii yote ni madhaya ya kauli za mapambio. Lkn kama anayepewa hizi sifa na amekaa kimya maana yake nikwamba anapenda kusifiwa. Ingekua hapendi kama rais wa zambia angetoka hadharani na kukemea mapambio hayo. Ni kutokana na kimya hicho suala hilo limegeuka kuwa fursa kwa wapambaji. Rasi wetu amekua mkubwa kuliko serikali, sasa hivi hatusikii serikali imefanya nini bali tunasikia mama kafanya nini.
Suala la iftar kama suala la kidini na kiimani limenza kupotea kwa kasi kubwa sana. Na tusipoangalia iftar itageukia kwenye siasa. Kwa sual hili nilidhani ni bora hata angemtaja muft lingeleta maana zaidi kuliko mapambio ambayo tumeyakinai. It is too much,
mwaka ile kuna jomba moja lilinususurika na ajali kwa kupona kwake alimshukuru rais, TUNAKWENDA WAPI, WAKUBWA NDIO WAMETUFIKISHA HAPA KWA KUPENDA KUSIFIWA BILA SABABU,
Wekeni mipaka ya kusifia.
Askuambie mtu ukubwa mtamu,acheni wahangaike
 
Wakuu,

Lazima utafute namna ya kumsifia mama, la sivyo ugali utakata! :KEKLaugh: :KEKLaugh:

===



Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi kuendelea kumuombea na kumuunga mkono Rais Samia ili aendelee kitimiza maono ya kusogeza huduma bora za kijamii kwa wanakatavi na watanzania kwa ujumla.

Mrindoko Ameyasema hayo katika hafla ya iftari ambayo iliandaliwa na ofisi yake na kuwakutanisha waumini wa dini zote na kusisitiza upendo, amani, utulivu na Ushirikiano ili kuufanya mkoa wa Katavi tuendelee kusongambele kimaendeleo.

Nae Kaimu Shekh Mkuu wa mkoa wa Katavi amewataka waumini kuendelea kulinda amani hasa kipindi hiki cha uchaguzi huku baadhi ya washiriki wakimshukuru Mkuu wa mkoa kwa kuendelea kuwa kiunganishi cha dini zote ndani ya mkoa wa Katavi.
Siku hizi ni kulishana na nikijiwe cha kumsifia mama Tu futari ilishapoteza maana
 
1000377658.jpg
 
Back
Top Bottom