Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
View attachment 1246323
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera amewataka waganga wa jadi mkoani humo, kutumia utalaamu wao kuwaloga watu waende kupiga kura na kuchagua viongozi wazuri kwenye uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa.
Hakuna mwanaccm mcha Mungu , ninao ushahidi .CCM wakati mwingine utadhani hawamwamini Mungu!
Halafu huyu RC eti ni Kijana!!.....my God!Mtu alierogwa anafanya mambo bila kujielewa.
Naona uwezo wa viongozi wetu kushawishi na kujenga hoja umegota.
Ni muda wa Waganga na wachawi kuwasaidia viongozi wetu kuongoza nchi
Ni vituko na aibu kwa Taifa, Viongozi wanawaza kuloga tu... Hapo uamini hata nafasi aliyonayo imeshikiliwa na Uchawi.Halafu huyu RC eti ni Kijana!!.....my God!
Weka clipView attachment 1246323
Hii ni kauli ya kishujaa iliyotolewa Mkoani Katavi na Mh Juma Homera akijaribu kuhakikisha kila mwenye uwezo wa kupiga kura anashiriki kikamilifu kujitokeza na
kuwachagua viongozi bora.
Kila Mganga ameelekezwa kutumia kila kifaa chake kikamilifu ili kuwaroga wananchi kama njia ya mpya ya uhamasishaji na ya kisasa .
Nayeye tayari kesha nyweshwa sumu ya kina WakudadavuaView attachment 1246323