RC Katavi awaomba waganga wa jadi waroge wananchi ili wajitokeze kupiga kura za Serikali za Mitaa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
FB_IMG_1572182107715.jpg

Hii ni kauli ya kishujaa iliyotolewa Mkoani Katavi na Mh Juma Homera akijaribu kuhakikisha kila mwenye uwezo wa kupiga kura anashiriki kikamilifu kujitokeza na
kuwachagua viongozi bora.

Kila Mganga ameelekezwa kutumia kila kifaa chake kikamilifu ili kuwaroga wananchi kama njia ya mpya ya uhamasishaji na ya kisasa .
 
FB_IMG_1572182167593.jpg

Chanzo : EA TV
 
View attachment 1246323

Weka clip
 
Tatizo majina ya ubini na mama zao hawayajui...

Labda wapelekewa madaftari ya kujiandikisha...

Cc: mahondaw
 
View attachment 1246323

Hii ni kauli ya kishujaa iliyotolewa Mkoani Katavi na Mh Juma Homera akijaribu kuhakikisha kila mwenye uwezo wa kupiga kura anashiriki kikamilifu kujitokeza na
kuwachagua viongozi bora.

Kila Mganga ameelekezwa kutumia kila kifaa chake kikamilifu ili kuwaroga wananchi kama njia ya mpya ya uhamasishaji na ya kisasa .
Nayeye tayari kesha nyweshwa sumu ya kina Wakudadavua
 
Hapa ndiyo tunazidi kuamini kuwa ndani ya ccm kila jambo linawezekana

Back
Top Bottom