RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka

RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka

UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa Wananchi wa Mkoa huo kutunza mazingira kwa wivu mkubwa kwa kuwa manufaa yake ni makubwa.

Mrindoko ametoa wito huo katika maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyo adhimishwa kimkoa Wilayani Mlele.
 
Back
Top Bottom