Pre GE2025 RC Kihongosi: Tunasimamia haki na kutatua kero za wananchi

Pre GE2025 RC Kihongosi: Tunasimamia haki na kutatua kero za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi pamoja na kusimamia fedha za miradi ya maendeleo katika mkoa huo

Kenani Kihongosi amesema hayo alipokuwa anazungumza na wananchi katika Machimbo ya Ikinabushu mkutano uliohudhuriwa na Maelfu ya Wananchi.

Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mkuu wa mkoa wa Simiyu ameendelea na ziara yake ya kikazi katika kata mbalimbali ziara ya kutatua na kusikikiza changamoto za wananchi katika Mkoa huo.

 
Back
Top Bottom