johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Bwashee nenda CCM Mwinyijuma Mwananyamala utamkuta!Huyo mzee Mgaya mbona unamfahamu wewe mwenyewe.
Tupatie picha yake!
Tupe picha kila mtu amjue mitaani.Bwashee nenda CCM Mwinyijuma mwananyamala utamkuta!
Mwinjuma sehem gani paleBwashee nenda CCM Mwinyijuma mwananyamala utamkuta!
Ha ha !
Unafahamu kwa akina Chiku Kambi pale karibu na kwa akina rip Joseph Katuba kipa wa zamani wa Simba yaani nyuma ya nyumba ya mzee Bamaga?
Hahahaaaa......... CCM ni chama kikubwa bwashee!Ha ha !
Inawezakana kada anachoma mahindi pale pembeni.
Ila kwa utambulisho anaopewa ni mzee wa hapo lumumba.Huyo mzee Mgaya mbona unamfahamu wewe mwenyewe.
Tupatie picha yake!
Awamu hii kila mtu ni Client. Na wanapindisha mikataba kama wapendavyo.Huwa nashangaa sana. Hivi mkandarasi anapojenga barabara haingii mkataba? Bilka shaka jibu ni ndiyo. Huwa anaingia mkataba na nani? Huwa ni nani anawajibika kusimamia ili ujenzi uende kama ilivyowekwa kwenye mkataba?..
Kwa vitisho tu hatujambo, vitisho tangu enzi na enzi lakini matokeo 0Kunenge ameagiza Mkandarasi afanye kazi usiku na mchana na ahakikishe amekabidhi barabara hiyo ifikapo 30/6/2021 ikiwa imekamilika vinginevyo atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Mzee Mgaya ambaye ni mwenyeji wa CCM Mwinyijuma ameshukuru kwa ziara hiyo ya mkuu wa mkoa.
Haya mambo vurugu tupu...miradi kuna contract na contract kati ya client na contractor na msimamizi ( Consultant..sasa mie huwa nashindwa kuelewa, unless vinginevyo, consultant huwa anatoa montly progress work report kwa Client, inayotakiwa kueleza progress, changamoto, malipo yaliyofanyika, matatizo nk.hii yote kupata picha ya miradi unavyokwenda. Miradi mingi kawaida inakuwa guided na Conditions of Contract zinazospecify, kitu gani kitafanyika incase either party, atadefault. Kama ni delays kutokana Client au contractor, conditions of contract itasema nini kifanyike and so on. Sasa mie nashindwa kuelewa shida inakuwa wapi hadi RC aje kutoa site instructions , yaani consultant hakuwa anatoa montly work progress reports au vp. Kumbuka kama kuna delays due to weather or contractor delays, conditions of contract, inaelekeza what to do. Sasa mambo haya mengine naona sijui vp. Lazima kuna tatizo mahali.Huwa nashangaa sana. Hivi mkandarasi anapojenga barabara haingii mkataba? Bilka shaka jibu ni ndiyo. Huwa anaingia mkataba na nani? Huwa ni nani anawajibika kusimamia ili ujenzi uende kama ilivyowekwa kwenye mkataba?
Kama kuna msimamizi kwa nini kazi inaposua sua asitekeleze wajibu wake mpaka angojee msukomo wa mkuu wa mkoa? Na mkuu wa mkoa kwanini asimwajibishe msimamizi? Au nimekosea na utaratibu ni kuwa mkuu wa mkoa ndiye msimamizi mkuu?
Haya mambo vurugu tupu...miradi kuna contract na contract kati ya client na contractor na msimamizi ( Consultant..sasa mie huwa nashindwa kuelewa, unless vinginevyo, consultant huwa anatoa montly progress work report kwa Client, inayotakiwa kueleza progress, changamoto, malipo yaliyofanyika, matatizo nk.hii yote kupata picha ya miradi unavyokwenda. Miradi mingi kawaida inakuwa guided na Conditions of Contract zinazospecify, kitu gani kitafanyika incase either party, atadefault. Kama ni delays kutokana Client au contractor, conditions of contract itasema nini kifanyike and so on. Sasa mie nashindwa kuelewa shida inakuwa wapi hadi RC aje kutoa site instructions , yaani consultant hakuwa anatoa montly work progress reports au vp. Kumbuka kama kuna delays due to weather or contractor delays, conditions of contract, inaelekeza what to do. Sasa mambo haya mengine naona sijui vp. Lazima kuna tatizo mahali.
Asante sana kwa maelezo mazuri. Kweli kama mambo ndiyo yako hivyo hii RC kuibuka na maagizo inaonyesha kuna kitu hakiko sawaHaya mambo vurugu tupu...miradi kuna contract na contract kati ya client na contractor na msimamizi ( Consultant..sasa mie huwa nashindwa kuelewa, unless vinginevyo, consultant huwa anatoa montly progress work report kwa Client, inayotakiwa kueleza progress, changamoto, malipo yaliyofanyika, matatizo nk.hii yote kupata picha ya miradi unavyokwenda. Miradi mingi kawaida inakuwa guided na Conditions of Contract zinazospecify, kitu gani kitafanyika incase either party, atadefault. Kama ni delays kutokana Client au contractor, conditions of contract itasema nini kifanyike and so on. Sasa mie nashindwa kuelewa shida inakuwa wapi hadi RC aje kutoa site instructions , yaani consultant hakuwa anatoa montly work progress reports au vp. Kumbuka kama kuna delays due to weather or contractor delays, conditions of contract, inaelekeza what to do. Sasa mambo haya mengine naona sijui vp. Lazima kuna tatizo mahali.
Ule mtaa kuelekea wami bar zamaniUnafahamu kwa akina Chiku Kambi pale karibu na kwa akina rip Joseph Katuba kipa wa zamani wa Simba yaani nyuma ya nyumba ya mzee Bamaga?