#COVID19 RC Kunenge aonesha wasiwasi dozi 15,000 za Uviko-19 ambazo hazijatumika zinaweza ku expire kama hazitatumika. Aweka mikakati ya kuhakikisha zinatumika

Kuna comments huwa nazisoma halafu najiuliza hivi Mungu aliyetupa ubongo/brain sawa na races nyingine kama wazungu, wachina, Wahindi etc ni wa kulaumiwa kweli? Profesa wa genetics aitwaye Witson aliwahi kuandika kwenye moja ya machapisho yake kwamba of all races in the world Waafrika ndiyo the most inferior, mwanzoni nilimchukia sana huyu bwana but kila ninapoona watu kama mleta comments na wengine wengi tuu, naanza kuona kwamba huyu profesa anaweza kuwa sahihi.
Kaparata mkubwa, jibu hoja mkuu.
 
Waafrica weusi ni kizazi cha Hamu (mmoja wa watoto watatu wa Nuhu ) aliyelaaniwa, ingawa hata viongozi wa dini ukiwauliza wanakanusha sababu ya unafiki lakini ndio hivyo. Ukitafakari matendo ya mtu mweusi hasa wale waliosoma sana utashangaa sana.

Hata iweje mtu mweusi atabaki kuwa most hopeless kati ya races zote katika dunia hii.
Nb: ni maoni yangu kutokana na nilivyoisoma biblia na katafakari matendo ya mweusi.
 
Juzi tumezika kijana wa miaka kama 45 Covid kakaa Hosp wiki na jana tumezika mzee wake wote walikuwa wanaumwa ni siku moja tu inasikitisha sana haya mambo baadhi ya family wanayopitia. so sad
Kachanje wewe sasa
 
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25, 2021 zitafikia mwisho wa matumizi yake.

Ameeleza kuwa mkoa umepata dozi 15,000 za chanjo ya Uviko-19 ambazo bado hazijatumika kati ya 30,000 zilizopokelewa, zitumike katika kipindi kifupi kijacho.

Kunenge amesema kwa kuanza wameamua kukutana na kamati ya afya ya msingi ngazi ya mkoa na wilaya, wataalamu kutoka Wizara ya Afya na Tamisemi ili kwa pamoja kufanya tathimini na kujipanga upya kwa kuongeza wigo mpana wa utoaji chanjo hiyo ili iishe yote kabla ya muda wake wa kuharibika haujafika.

"Chanjo hizi zina muda wake maalumu na tumeangalia mpaka sasa katika mkoa wetu katika chanjo 30,000 tulizopokea sasa hivi tumefikia asilimia 50 ya dozi hizi kwa maana zimetumia kama 15,000 tu , nusu ya chanjo hizo bado hazijatumika na ni mwezi mmoja tu umebaki lazima tutumie mbinu shiriki na hizi zitumike kwa hiyo kikao hiki ni kikao cha kutafuta majibu," amesema Kunenge akibainisha kuwa idadi ya waliochanja ni ndogo ikilinganishwa na wakazi wa mkoa huo huku akitaka wakuu wa wilaya kusimamia utoaji wa chanjo.

Chanzo: Mwananchi
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hawa watu wanatia huruma sana. Wanadhani uongozi ni usanii!
 
Tatizo la Tanzania hata serikali hawako wazi mfano watu wanaokufa kwa Corona imewekwa siri unaambiwa kafa kwa pressure, kisukari lakini familia inasema corona. Sasa watu wanaamini kama vile corona haipo!
 
Yaani jiji lenye watu zaidi ya million 8 wanashindwa kumaLiza chanjo elfu 30[emoji848]

Na baDo mtaani watu wanadunda maisha kama kawaida.

Aisee
Kwenye hili la corona,
Magufuli ajengewe sanamu pale raundi abauti ya bustani yaEDENI

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu Pwani ni jiji?
 
Korona 3 imekwisha pita
 
Korona 3 imekwisha pita
Ndiyo inapita lakini kuchanya ni muhimu maana hujui inakuja ipi. Kila mtu yuko tofauti unaweza kupata isikusumbue lakini mwingine anapata inawaondoka kama wale wapendwa wetu
 
Waliochoma si warudie tena mana nimesikia DOUBLE JAB haina shida eti.
 
Ndiyo inapita lakini kuchanya ni muhimu maana hujui inakuja ipi. Kila mtu yuko tofauti unaweza kupata isikusumbue lakini mwingine anapata inawaondoka kama wale wapendwa wetu
Nani alikuambia aina mpya ya korona inatumia chanjo ya zamani ,tena walio chanja mbona wanakufa kwa kovidi mfano ni hans poppe
 
Yaani jiji lenye watu zaidi ya million 8 wanashindwa kumaLiza chanjo elfu 30[emoji848]

Na baDo mtaani watu wanadunda maisha kama kawaida.

Aisee
Kwenye hili la corona,
Magufuli ajengewe sanamu pale raundi abauti ya bustani yaEDENI

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

JPM kwenye Corona Alicheza Kama Pelle
 
Mh. Mbowe alipowaambia chanjo isiwe hiari mlimuona mjinga..

CCM bana sijui ni chama cha namna gani hiki; haya msipokiwa makini yana ekisipaya yoote.
 
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25, 2021 zitafikia mwisho wa matumizi yake.

Ameeleza kuwa mkoa umepata dozi 15,000 za chanjo ya Uviko-19 ambazo bado hazijatumika kati ya 30,000 zilizopokelewa, zitumike katika kipindi kifupi kijacho.

Kunenge amesema kwa kuanza wameamua kukutana na kamati ya afya ya msingi ngazi ya mkoa na wilaya, wataalamu kutoka Wizara ya Afya na Tamisemi ili kwa pamoja kufanya tathimini na kujipanga upya kwa kuongeza wigo mpana wa utoaji chanjo hiyo ili iishe yote kabla ya muda wake wa kuharibika haujafika.

"Chanjo hizi zina muda wake maalumu na tumeangalia mpaka sasa katika mkoa wetu katika chanjo 30,000 tulizopokea sasa hivi tumefikia asilimia 50 ya dozi hizi kwa maana zimetumia kama 15,000 tu , nusu ya chanjo hizo bado hazijatumika na ni mwezi mmoja tu umebaki lazima tutumie mbinu shiriki na hizi zitumike kwa hiyo kikao hiki ni kikao cha kutafuta majibu," amesema Kunenge akibainisha kuwa idadi ya waliochanja ni ndogo ikilinganishwa na wakazi wa mkoa huo huku akitaka wakuu wa wilaya kusimamia utoaji wa chanjo.

Chanzo: Mwananchi
Kwa hiyo Mbeya waliokea chanjo 50000 na Dar 30000!? Wanasiasa kuwaamini na kuwaelewa yahitaji moyo.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kuna comments huwa nazisoma halafu najiuliza hivi Mungu aliyetupa ubongo/brain sawa na races nyingine kama wazungu, wachina, Wahindi etc ni wa kulaumiwa kweli? Profesa wa genetics aitwaye Witson aliwahi kuandika kwenye moja ya machapisho yake kwamba of all races in the world Waafrika ndiyo the most inferior, mwanzoni nilimchukia sana huyu bwana but kila ninapoona watu kama mleta comments na wengine wengi tuu, naanza kuona kwamba huyu profesa anaweza kuwa sahihi.
Mimi mwenyewe nashangaa maoni mengine hadi unajiuliza hivi huyu ni great thinker kweli, watu wanakufa halafu watu wamaleta utani. Hii kitu ipo sana, lakini athari zake kwetu Africa hajafikia ulaya. Tusilete utani
 
Back
Top Bottom