Je? Amejipanga kuzuia wizi wa kura uchakachuaji wa CCM? Kajipanga vipi kwa hilo maana pasipo na Haki ndipo penye vuruguRudia kusoma na ufuate taratibu na sheria za uchaguzi
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya fujo siku ya uchaguzi ambapo ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama."
Uwashauri na wenzio☺
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
HAKI ndiyo habari kuu sasa pasipo na Haki hakuna Amani tenaSuala la AMANI ni kuliombea Mungu siyo porojo za mdomoni, kama HAKI haitotamalaki basi moto utawaka.
Kila chombo cha serikali kinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na taratibu. Ila wewe unaona hajajipanga kwa sababu zako binafsiJe? Amejipanga kuzuia wizi wa kura uchakachuaji wa CCM? Kajipanga vipi kwa hilo maana pasipo na Haki ndipo penye vurugu
Hana issue yoyote amekuwalia kwenye utumishi wa ummaWenye CV yake ailete sasa
CCM hawazungumzi neno hakiHAKI ndiyo habari kuu sasa pasipo na Haki hakuna Amani tena
Hakuna aliyekulazimisha kuamini wewe endelea kuamini zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu Mkoloni kaburu mweusi na wengine wanaamini hakuna maendeleo yameletwa na CCM kwani vimaendeleo kidogo ni pesa za walipa kodi si Hisani za CCM ingawa hujidai kuwa wao CCM ndiyo wanaleta maendeleo utazani ni pesa zao binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu magufuliUbaya unataka kila mtu aamini unachoamini wewe😁😁
28102020 tutapongezana na kupeana pole hapahapa
ugonjwa wa kutokujielewa ndio unakusumbuaKunenge safi, Chadema walishaanza kuleta kiburi
Hapo ndipo polepole hupenya na kuwapelekesha kuharibu utu wao, alianza kazi vizuri lakini sasa kaanza kutumia ushauri wa kishetani tokea kwa Akili cyprian Musiba na wenzao atakuja kuwa na mwisho mbayaHana issue yoyote amekuwalia kwenye utumishi wa umma
ni kosa kusema mtukufu magufuli nduguHakuna aliyekulazimisha kuamini wewe endelea kuamini zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu Mkoloni kaburu mweusi na wengine wanaamini hakuna maendeleo yameletwa na CCM kwani vimaendeleo kidogo ni pesa za walipa kodi si Hisani za CCM ingawa hujidai kuwa wao CCM ndiyo wanaleta maendeleo utazani ni pesa zao binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu magufuli
Hapo hawezi mzeeJe? Amejipanga kuzuia wizi wa kura uchakachuaji wa CCM? Kajipanga vipi kwa hilo maana pasipo na Haki ndipo penye vurugu
Mtukufu ni neno zuri hata marehemu Rais wa zamani wa kenya Daniel Arap moi aliitwa mtukufu, neno mtukufu linakufa tu pale watakapoacha kuwabambikia kesi kesi kuwaonea kuwanyanyasa wapinzanini kosa kusema mtukufu magufuli ndugu
Haki, haki, haki kwenye Haki kuna Amani na pasipo na Haki hakuna Amani
Shekhe Ponda Issa Ponda azidi kupigilia Misumari kwenye Jeneza la CCM
Wakurugenzi ambao ni Makada wa CCM ambao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi wanataka wahuni wa CCM kutoa Vipigo kwenye Vituo ambavyo Chadema au ACTwazalendo wataonekana kushinda ili kuvuruga Uchaguzi