Uchaguzi 2020 RC Kunenge awahakikishia wananchi usalama siku ya Uchaguzi, asema atakayefanya fujo kukiona cha moto

Uchaguzi 2020 RC Kunenge awahakikishia wananchi usalama siku ya Uchaguzi, asema atakayefanya fujo kukiona cha moto

Rudia kusoma na ufuate taratibu na sheria za uchaguzi

"Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya fujo siku ya uchaguzi ambapo ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama."

Uwashauri na wenzio☺
Je? Amejipanga kuzuia wizi wa kura uchakachuaji wa CCM? Kajipanga vipi kwa hilo maana pasipo na Haki ndipo penye vurugu
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura

Ubaya unataka kila mtu aamini unachoamini wewe😁😁

28102020 tutapongezana na kupeana pole hapahapa
 
Je? Amejipanga kuzuia wizi wa kura uchakachuaji wa CCM? Kajipanga vipi kwa hilo maana pasipo na Haki ndipo penye vurugu
Kila chombo cha serikali kinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na taratibu. Ila wewe unaona hajajipanga kwa sababu zako binafsi
 
Ubaya unataka kila mtu aamini unachoamini wewe😁😁

28102020 tutapongezana na kupeana pole hapahapa
Hakuna aliyekulazimisha kuamini wewe endelea kuamini zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu Mkoloni kaburu mweusi na wengine wanaamini hakuna maendeleo yameletwa na CCM kwani vimaendeleo kidogo ni pesa za walipa kodi si Hisani za CCM ingawa hujidai kuwa wao CCM ndiyo wanaleta maendeleo utazani ni pesa zao binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu magufuli
 
Hana issue yoyote amekuwalia kwenye utumishi wa umma
Hapo ndipo polepole hupenya na kuwapelekesha kuharibu utu wao, alianza kazi vizuri lakini sasa kaanza kutumia ushauri wa kishetani tokea kwa Akili cyprian Musiba na wenzao atakuja kuwa na mwisho mbaya
 
Hakuna aliyekulazimisha kuamini wewe endelea kuamini zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu Mkoloni kaburu mweusi na wengine wanaamini hakuna maendeleo yameletwa na CCM kwani vimaendeleo kidogo ni pesa za walipa kodi si Hisani za CCM ingawa hujidai kuwa wao CCM ndiyo wanaleta maendeleo utazani ni pesa zao binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu magufuli
ni kosa kusema mtukufu magufuli ndugu
 
Haki, haki, haki kwenye Haki kuna Amani na pasipo na Haki hakuna Amani
 
ni kosa kusema mtukufu magufuli ndugu
Mtukufu ni neno zuri hata marehemu Rais wa zamani wa kenya Daniel Arap moi aliitwa mtukufu, neno mtukufu linakufa tu pale watakapoacha kuwabambikia kesi kesi kuwaonea kuwanyanyasa wapinzani
 
Huwa nashangazwa na hizi kauli za watawala wanaposema 'tumejipanga sijui kukiona.....' kwani kuongea kistaarabu kuwasihi wananchi umuhimu wa utulivu amani na upendo inakuwa shida kuyatamka haya?! Instead ni vitisho kama wanajiandaa kwenda vitani
Mnayaona yanayotokea West hamjifunzi
Idara ya ulinzi na utawala barani Africa ni laana haki kweli!
 
Shekhe Ponda Issa Ponda azidi kupigilia Misumari kwenye Jeneza la CCM
 
Shekhe Ponda Issa Ponda azidi kupigilia Misumari kwenye Jeneza la CCM

Tutarudi kuwa taifa moja baada ya msaliti kushindwa 28.10 na kuendelea

Vibaraka hawana nafasi Tanzania
 
Wakurugenzi ambao ni Makada wa CCM ambao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi wanataka wahuni wa CCM kutoa Vipigo kwenye Vituo ambavyo Chadema au ACTwazalendo wataonekana kushinda ili kuvuruga Uchaguzi
 
Wakurugenzi ambao ni Makada wa CCM ambao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi wanataka wahuni wa CCM kutoa Vipigo kwenye Vituo ambavyo Chadema au ACTwazalendo wataonekana kushinda ili kuvuruga Uchaguzi
 
Back
Top Bottom