johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee Rais ana mfuko wa dharura....Ametoa kutoka kwenye mfuko wake?
Haya mambo ndio yalimfanya Magufuli pesa kuziita pesa zake
Kuna mfuko maalum wa raisi.....Ametoa kutoka kwenye mfuko wake?
Haya mambo ndio yalimfanya Magufuli pesa kuziita pesa zake
Huo mfuko sio serekaleKuna mfuko maalum wa raisi.....
nendeni hata shule mjue ABC sio kila kitu kinakuwa kipya kwenu!!??
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume
RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara
Chanzo: ITV habari
Ni makosa mno kusema Rais katoa ni serikali imetoa maana Rais Samia hana fedha ni za serikalRais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume
RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara
Chanzo: ITV habari
Kwa hiyo unapinga?Ametoa kutoka kwenye mfuko wake?
Haya mambo ndio yalimfanya Magufuli pesa kuziita pesa zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hela zako kachukue upeleke kwenu
Mlimani city, Quality plaza hawana wateja?uzio wa mabati na meza za kisasa 100M??
Machinga complex wafanyabiashara hawapataki wateja wakibongo wanatabia ya uvivu hawatapanda lile gorofa...
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume
RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara
Chanzo: ITV habari
Tunarudia kule kule,RAIS KATOA......ni zake? Kwa nini isiwe serikali imetoaRais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume