RC Makala, siku saba zimepita tangu soko la Karume kuungua. Majibu hayajatoka?

Na RC atakaposoma ripoti hii ya moto pale Karume,aipitie na ripoti ya Kariakoo inayopata vumbi kwenye ofisi ya PM,yaani ningekua na uwezo ningeitafuta ile ripoti ya Mh.Makweta(rip)kuhusu ELIMU yetu na kutupwa kwa ripoti ile ndio kumezaa vihiyo kibao ambao wengi wamo humu pia.
 
Ni mapito ya kutisha! Tumetoka katika serikali iliyokuwa inakwapua fedha benk za raia wake hadi serikali inayochoma biashara za raia!!
Una uhakika WA unachokisema?
 
Na RC atakaposoma ripoti hii ya moto pale Karume,aipitie na ripoti ya Kariakoo inayopata vumbi kwenye ofisi ya PM,yaani ningekua na uwezo ningeitafuta ile ripoti ya Mh.Makweta(rip)kuhusu ELIMU yetu na kutupwa kwa ripoti ile ndio kumezaa vihiyo kibao ambao wengi wamo humu pia.
Ndiyo sasa hapo mwonesheni ubabe, weledi na umahiri wenu kwa kudukua na kufukunyua computer zao kama legend Assange alivyomfanyia Mwamerika.
 
Bwana Makala mzee wa gugu ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine tu.

Dont ever expect much from his administration or else you will be disappointed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo hatari na athari za kuwekwa mahali fulani kwa ^kazi maalum,^ bila mhusika kuwa na vision na strategies zake binafsi kama kiongozi. Nasikia deile, lazima ampigie simu Bi Mikopo, amuulize: ^Mheshimiwa, hii ngoma tayari! Kuna pengine wapi tena n'apotakiwa kupaparapachua?^
 
Ipo siku atachoma ikulu ya mosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa walishasahau, hawawazi hata wale wafanyabishara pale wanapata wap hela za kulisha familia zao
 
Back
Top Bottom