Una uhakika WA unachokisema?Ni mapito ya kutisha! Tumetoka katika serikali iliyokuwa inakwapua fedha benk za raia wake hadi serikali inayochoma biashara za raia!!
Huhitaji rocket kujua sirikali yenu inahusika.Una uhakika WA unachokisema?
Ndiyo sasa hapo mwonesheni ubabe, weledi na umahiri wenu kwa kudukua na kufukunyua computer zao kama legend Assange alivyomfanyia Mwamerika.Na RC atakaposoma ripoti hii ya moto pale Karume,aipitie na ripoti ya Kariakoo inayopata vumbi kwenye ofisi ya PM,yaani ningekua na uwezo ningeitafuta ile ripoti ya Mh.Makweta(rip)kuhusu ELIMU yetu na kutupwa kwa ripoti ile ndio kumezaa vihiyo kibao ambao wengi wamo humu pia.
Hiyo ndiyo hatari na athari za kuwekwa mahali fulani kwa ^kazi maalum,^ bila mhusika kuwa na vision na strategies zake binafsi kama kiongozi. Nasikia deile, lazima ampigie simu Bi Mikopo, amuulize: ^Mheshimiwa, hii ngoma tayari! Kuna pengine wapi tena n'apotakiwa kupaparapachua?^Bwana Makala mzee wa gugu ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine tu.
Dont ever expect much from his administration or else you will be disappointed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku atachoma ikulu ya moshoHiyo ndiyo hatari na athari za kuwekwa mahali fulani kwa ^kazi maalum,^ bila mhusika kuwa na vision na strategies zake binafsi kama kiongozi. Nasikia deile, lazima ampigie simu Bi Mikopo, amuulize: ^Mheshimiwa, hii ngoma tayari! Kuna pengine wapi tena n'apotakiwa kupaparapachua?^
Walitakiwa wasaini kabisa! Hizi ni dalili za nchi hii kupigwa mnada.Ndio imetoka hiyo, hakuna guarantee ya kukamilisha uchunguzi ndani ya miaka 7, hapa wanawazuga tu.