Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Huo Sasa upumbavu ameshindwa ya machinga ataweza wauza utumbo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapajua unipe directionAh yan ndio nilikua nataka nipite uwanja wa fisi mana napasikia tu..
Sa itakuaje ?
![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
Huyu Makala naye hajitambui! Sasa ndio kwanza anaishamirisha biashara kwa kuwapa gear ya kuingia rais wale polisi waliokuwa wanasitasita! Unamtumaje mtu mwenye njaa akatupe chakula kibovu kama siyo umekusudia akakile😃!? Hao polisi chondechonde wasiwabake tu kama wataamua kuonja tunda na wawalipe kwa huduma kama kawaida!![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
this is funny to me..let wait see....his predecessor fails...i wonder what strategies he will use...![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila jaman press zingne zinafikirisha lol, khaaaahNgoma haiwezi. Nipo hapa Corner Bar watu ova hawana taarifa kwamba RC katangaza vita.
Ukitokea kimara shuka tip top afu vuka upande wa piliUnapajua unipe direction
Imetajwa kwenye Biblia na Quran. Ipo siku zote. Hii sio mara ya kwanza kutaka kuomdolewa na ika survive!....kwa sababu ipo toka enzi za Quran na Biblia vinaandikwa !!!![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
Hayo machimbo ni makongwe wala hayahitaji ufichuzi wowote..labda useme massage centersNawasalimu kwa jina la JMT
Naleta kwenu uzi huu maalumu kumsaidia ndugu yetu Amosi Makala mwenye dhamira ya kutokomeza vitendo vya biashara ya ngono Dar.
Mimi naanza na kutaja machimbo ya Ngono.
NB. "Mimi sijawah nunua pisi huko"
1. Pub moja inaitwa Rambo manzese
2. Catalunya Iliyopo sumnujoma road
3.Riverside karibu na Land mark
Karibuni tufichuo machimbooo
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
View attachment 1948850
Acheni wivu aisee na kuingilia starehe za wenzenu, serikali ifanye tu utaratibu waanze kulipa kodi na wazingatie kanuni za afya na usafi.Nawasalimu kwa jina la JMT
Naleta kwenu uzi huu maalumu kumsaidia ndugu yetu Amosi Makala mwenye dhamira ya kutokomeza vitendo vya biashara ya ngono Dar.
Mimi naanza na kutaja machimbo ya Ngono.
NB. "Mimi sijawah nunua pisi huko"
1. Pub moja inaitwa Rambo manzese
2. Catalunya Iliyopo sumnujoma road
3.Riverside karibu na Land mark
Karibuni tufichuo machimbooo
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
View attachment 1948850
Kumbe mpka insta wapo? Mbona wagumu sana kujibu dm kuleTim Tok, insta na telegram atume polisi humo