lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Kule ngumu coz kuna makubaliano ya aina mbiliNako watawawinda,[emoji3]
Kuna wakati wauza miili yao walipungua baada ya kuanza kuelimishwa na kuwezeshwa.Kule ngumu coz kuna makubaliano ya aina mbili
1. Malaya anakuja unapotaka wewe geto kwako au gesti
2. Kuna malaya wana vyumba vyao unawafata..
Sasa polisi hapo hata akijifanya mteja sijui ka italeta maana yoyote mana itakua sawa tu na wewe unavomuita demu wako gesti afu unamtumia nauli au unaenda kugonga demu geto kwake afu unamtoa 30 ya kusuka...
Kwa kifupi washafeli....
Ndiyo Pagumu HapoCha muhimu polisi wasiende na nyege tuu
Pride na kiwohede vilisaidia Sana kuwaelimisha.Sidhani kama wanapenda kuuza awaite awape seminar na mitaji wajiajiriKuna wakati wauza miili yao walipungua baada ya kuanza kuelimishwa na kuwezeshwa.
Wanaoongeza idadi ya sexual workers ni hao hao waheshimiwa kwa sababu fedha za kuwajengea uwezo wanawake wanazila bila huruma
Ukihitaji hii huduma pendwa popote iwe dar au mkoani au ugenini,mtafute bodaboda yeyeto anakuletea hadi ulipo, bodaboda wote ndio maajent wao.Hayo machimbo ni makongwe wala hayahitaji ufichuzi wowote..labda useme massage centers
Uyo makala ni kichwa maji kumbe ivi hawa viongoz yan vitu wanaeza fanya karne hii ndo ivo tu? kweli tuna safari ndefu sana waafrica amekaa ofisin akaona dsm tatizo ni malaya ndo tatzo kubwa?Makalla badala ya kuhangaika na mambo ya msingi anahangaika na petty issues. Sasa akiwazuia kujiuza yeye ndiye atakuwa ana wapa pesa za matumizi?
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..Sasa wenye midomo mizito kama tumebugia zege tutapataje mademu wa kupunguzia nyege zetu
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five