Hawa hawa waliovamia Malawi, kama wanaweza kupiga kazi kimataifa watashindwa kupiga kazi kitaifa hapo ManzesePolisi hawa hawa au kuna wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hawa waliovamia Malawi, kama wanaweza kupiga kazi kimataifa watashindwa kupiga kazi kitaifa hapo ManzesePolisi hawa hawa au kuna wengine?
askari anaenda, anaachiwa na kutingishiwa matako makubwa yakiwa wazi kabisa. Afu anaambiwa baby liokote, chukua lote bure ni lako baby. Askari analegea na silaha anatupa chini.![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
Mkoa umemshinda mapema sana bwana huyuDalili za kukosa ubunifu na kukosa kazi za kufanya.
Hii biashara imekuwapo hata kabla ya nabii Issa.
Hii biashara iko duniani kote na katika miji yote.
Wewe kama si mteja au mdau inakuhusu nini?
Hivi wa machinga kesha malizana nao?
Mkoa umemshinda mapema sana bwana huyu
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa naomba nikufahamishe kwamba hiyo biashara huiwezi, hutakuja kuiweza, na hakuna mtu atakuja kuiweza hata angeamua Magufuli kuifatilia asingeweza, hata umtume nani hataweza, hata uende mwenyewe kukamata hutaweza.![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
Sure thing, amekalia kukomaa na maagizo yasiyotekelezeka tuYuko ana hanja hanja kama yule domo kubwa wa mitandaoni. Hajui ashike au aache wapi.
Huyu ana mpango wa kuua polisi wetu kwa UKIMWI![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
Shida Polisi wenyewe sio waminifu, watawakusanya na kujipigia mizigo wakasau walichotumwa!!![]()