RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

makalla-12-1080x570-1.jpeg

Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.

Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.

Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.

Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.

Bongo Five
Huo ndio mgogoro wa maana alioupa uzito. Unashindana na biashara ya ngono, utaondoka kwenye hiyo nafasi, ukiiacha biashara iko pale pale.
 
Safi sana.Biashara ya ngono inadhalilisha utu, Ndoa haziheshimiwi tena sababu ngono imekua rahisi sana.wanandoa wakitofautiana kidogo mmoja wao anaenda kununua ngono badala ya kufanya suluhu ndani ya nyumba.
[emoji3525]
IMG_20210918_180250.jpg
 
Aangalie hapo polisi wake wasije kubakwa wao.
Maana watakula papuchi kwenye malipo watataka kitonga watoe kitambulisho ndio kubakwa kwao kutaanzia hapo.
 
Nchi za wenzetu iko formalized na wanalipa kodi, pia wana maeneo maalum siyo kuzurura zurura kama kuku wa kienyeji......kama hao makahaba hawawezi kuacha ni fursa sasa kwa serikali kuweka regulations na pia kutoza kodi au ushuru ili kiwe chanzo mojawapo cha mapato tuongeze madarasa mengine 200.....
 
Kubwa hii biashara irasimishwe tu wawekwe kwenye mnyororo wa thamani rasmi..
 
Biashara ya ukahaba haiwezi kumalizwa kwa Amri na matamko ya viongozi. Hapa Makala anajifurahisha tu. Hao Polisi wengi wao Ni wateja wazuri na zaidi huwa wanahitaji huduma kwa vitisho.
 
Kwan hii biashara ina shida gani? Hii ndo biashara kongwe kupita zote duniani, kwann unataka kupiga marufuku? Kwann unafanya kazi iliyowashinda viongozi wengi wa dunia? Watu siku hizi wanauza bidhaa mtandaoni, unawazuia vp?

Dar es Salaam ni mji wa kibiashara, tiunahitaji RC mwenye akili ya biashara. RC wa kuwatengenezea fursa vijana ili wafanye biashara. Sio hizi porojo anazofanya kana kwamba hii nchi ya kilokole/kiislam. Wanawake wawe huru kuamua juu ya miili yao.
Hivi huyu RC ana elimu gani? Open University au zile Executive degree za MU?! Kikwetu makala maana yake Mkaa.
 
makalla-12-1080x570-1.jpeg

Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.

Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.

Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.

Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.

Bongo Five
Waheshimiwa wenyewe ndio wateja wakubwa wa dada poa
 
RC ajikite kwenye mambo ya msingi
Hii biashara ipo toka enzi za Yesu haijawahi Kufa na haitakufa tusipoteze resources bure
Nashindwa kuelewa, yani Amina ameamua kumuuzia Jose uchi wake, sasa Mimi kinaniuma nini? Nyuchi zinazotumika hapo ni zangu?
 
Mawazo yako yameenda shule. Na ndiyo maana biashara ya ngono haiwezi kwisha. Itaishaji na jiji limejaa wanawake wanaojiuza kila kona. Hawa hawa viongozi kama ma-RC ni wateja wazuri na wanalipa ghali kuliko hata huko uwanja wa fisi. Tofauti ni mazingira ya kununua na kufanyia ukahaba tu. Kwa mfano hawa mademu waojiita wasanii wengi wao ni makahaba. Na viongozi ndiyo wateja wao wakubwa. Hivi hakumbuki kuna mtu ameshawahi kuhonga mpaka ukuu wa wilaya ya Kisarawe kwa demu? Au kwa sababu ameshafariki ndiyo hakumbuki tena.
Ndiyo maana wengi hawakai na wake zao. Mienendo yao inatia aibu.
 
Mengine yote anaweza kufanikisha lakini kwa hili hapana!!licha ya hao maaskari nao ndio wateja wao ,
Hata lile la machinga haiwezi na ndio maana karukia kwa hao makahaba.

Ni vyema akijifunza kwa Samson aliyeingia kichwa kichwa kwa kahaba Delilah.

Makala wahurumia polisi usiwape hii kazi watatoboa siri mbele ya makahaba then watobolewe macho.
 
Back
Top Bottom