johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hesabu na Corona wapi na wapi bwashee?!Waanze na mwendokasi zao.
Bus level seat nauli 400 hesabu wanaleta sh ngapi??
Afya kwenye daladala ila kwenye mwendokasi fresh tu. Si ndio?Hesabu na Corona wapi na wapi bwashee?!
Afya kwanza.
Huyo jamaa anakazwa na jini! Haya mamwendokasi yanajaza mpaka pa kupumulia hakunaAfya kwenye daladala ila kwenye mwendokasi fresh tu. Si ndio?
Wamiliki wa mabasi wawapunguzie hesabu za jioni,itabidi tuvumiliane katika ili swala kama ni hasara tupate woteWaanze na mwendokasi zao.
Bus level seat nauli 400 hesabu wanaleta sh ngapi??
Wanafunzi 5x5m distance apart. Hiyo ni dala dala au ni tram? Kuna daladala yenye ukubwa wa 82 ft?Akisema wanafunzi watano Kuna shule wanafunzi watafika shule saa nane mchana kwa ukosefu wa usafiri
Nashangaaa!!tangu atoe tamko wananchi wana mcheki tu, eti wanafunzi ndio wasimame kwa umbali wa mita moja moja, sasa kwenye daladala c watasimama kama watatu tu!!!?waache watu waendelee na maisha yao tu, kwani siasa zao ndio zinawavuluga wananchi!!Huyu nae hivi hajajishtukia tu kama watu wamemdharau?