Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mafuta yalikua chini mafuta yamepanda zaid ya buku na kitu bado wakaongeza tozo zao hawa jamaa ni viaziKipindi cha Paul Makonda iliwezekana sababu watu wengi tulifanya kazi tukiwa home na shule zilifungwa kwa miezi 3
Nilisema hapa miezi mitano ilopita kwamba haya yangetokea na hatupaswi kupiga kelele.Na mafuta yalikua chini mafuta yamepanda zaid ya buku na kitu bado wakaongeza tozo zao hawa jamaa ni viazi
Yeye muda wote yuko ndani ya LAND CRUISER V8 la milioni 400 anapigwa kiyoyozi laini na kunesa nesa — Haelewi na hajali lolote kuhusu usafiri wa umma.Huaga najiuliza sana kabla ya viongozi wetu hawajanena chchte hua wanafikiria kweli na kufanya research ya usafiri wa hapa dar kwasababu nauhakika sehem nyingi za hapa dar usafiri hautoshi kabsa halaf kuna mtu analeta tena level seat ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda mwendokasiWanafunzi 5x5m distance apart. Hiyo ni dala dala au ni tram? Kuna daladala yenye ukubwa wa 82 ft?