Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Njoo kimara uonge uonevu wa polisi wa huku walivyo waonezi. Wanazunguka na magari kutishia watuMbona watu wanagonga bia mda wote hapa DSM
Dodoma wameweza kufuta amri ya kijinga ya kuzuia watu kunywa bia muda wa asubuhi kwa kisingizio cha kufanyakazi. Kazi ambayo pia haipo.
Sasa Amos Makala ebu futilia mbali amri ambayo iliwekwa na Makonda zama za utawala ambao haukuwa rafiki na Wafanyabiashara. Jeshi la polisi wanatumia marufuku hii kama sehemu ya kunyanyasa raia na kujipatia Rushwa.
Mama kasema anafungua nchi sasa sisi wengine kazi zetu hazipp serikalini inakuwaje mnatukera.
Weweee!!ina tegemea na maeneo, kuna baadhi ya maeneo askari wameshafanya biashara muda wote wa asubuhi ni kuzunguka kwenye mabaa kwa tafuta wanaokunywa pombe muda huo, hasa màeneo ya tabata, na wakiwakamata huwa ni kuchukua pesa tu na kuwaacha!!Mbona watu wanagonga bia mda wote hapa DSM
Hata tabata ni hivyo hivyoNjoo kimara uonge uonevu wa polisi wa huku walivyo waonezi. Wanazunguka na magari kutishia watu