RC Makalla hongera, umelisafisha Jiji la Dar

RC Makalla hongera, umelisafisha Jiji la Dar

Yaaani ilifikia hatua hadi vibanda vikawa vinauza bidhaa kwa jumla halafu watu wanaita eti machinga wakati ni wafanyabiashara wakwepa kodi. Machinga wapo na kila siku tunawaona wakitembeza bidhaa hadi majumbani mwetu na wataendelea kuwepo. Hao walioondolewa sio machinga bali wachafuzi wa miji na wakwepa kodi. Duka zima wanapanga barabarani
Hawa wanatakiwa wachukue fremu waendelee na biashara na wapewe efd watuchangie kodi
 
Bado naombea asije tokea mwana sihasa akamvurugia Makalla plan alizoziweka!! Nafikiria hadi mwisho wa mwezi mambo yatakuwa mazuri, na kila kitu kitakaa sawa!! Hongera sana mheshimiwa Makalla umeokoa wengi na magonjwa ya kisukari kwani sasa mjini tutaweza kutembea kama sehemu ya mazoezi
Safi mkuu, inabidi kiongozi wa umma akifanya kazi vizuri na matokeo tunyaona kwa macho, ingalau apewe kongole.
Wengine waliopita Dar kama wakuu walikuwa maneno matupu yasiyo na tija na kiukweli machinga lilisha kuwa kero kubwa la kisiasa.
 
Sisi wa mikoani mtutumie kapicha wakuu
 
Bado naombea asije tokea mwana sihasa akamvurugia Makalla plan alizoziweka!! Nafikiria hadi mwisho wa mwezi mambo yatakuwa mazuri, na kila kitu kitakaa sawa!! Hongera sana mheshimiwa Makalla umeokoa wengi na magonjwa ya kisukari kwani sasa mjini tutaweza kutembea kama sehemu ya mazoezi
Hili liwe funzo kwa wanasiasa wanaowatumka hawa watu masikini mama mtaji wa kisiasa.
Hawawasaidii kwa lolote.
 
Inatakiwa sensa ya machinga,haragu watoe kodi ndogo kama sh 500..hadi book 2 kila siku kutegema na size ya biashara
 
Kweli Jiji la Dar lazima lazima lipewe mtoto wa mjini kuliendesha.
Kwa mtaji wa tamko la Rais Samia, RC Amos Makalla amelisafisha Jiji la Dar tena bila vurugu za kupigana virungu.

Kwa mtu anayejua kuongoza mass dwellings , ni lazima hatua ya kuondoa machinga imekuwa very well planned.

RC Makalla nakupa pongezi kwa hilo.

Machinga lilikuwa janga la afya
Machinga ilisababisha ajali barabarani
Machinga na vibanda ilikuwa maficho ya vibaka
Machinga hawalipi kodi.
Machinga waliziba mitaro ya usafi wa maji ya mvua.

Sasa Jiji la Dar linarudi kwenye ubora wake.

Hongera sana Amos.
Machinga hawakuwa na nguvu yoyote, walidekezwa na wanasiasa. Nilishangaa kusikia serikali imetenga billions to allocate wamachinga, huku hospitali nyingi hazina hata panadol, na madakitari wamegeuka kuwa watoa ushauri, consultants.
 
Wanasiasa toka siku nyingi huwa wanatafuta mitaji rahisi.
 
Back
Top Bottom