RC Makalla hongera, umelisafisha Jiji la Dar

Hawa wanatakiwa wachukue fremu waendelee na biashara na wapewe efd watuchangie kodi
 
Safi mkuu, inabidi kiongozi wa umma akifanya kazi vizuri na matokeo tunyaona kwa macho, ingalau apewe kongole.
Wengine waliopita Dar kama wakuu walikuwa maneno matupu yasiyo na tija na kiukweli machinga lilisha kuwa kero kubwa la kisiasa.
 
Sisi wa mikoani mtutumie kapicha wakuu
 
Hili liwe funzo kwa wanasiasa wanaowatumka hawa watu masikini mama mtaji wa kisiasa.
Hawawasaidii kwa lolote.
 
Inatakiwa sensa ya machinga,haragu watoe kodi ndogo kama sh 500..hadi book 2 kila siku kutegema na size ya biashara
 
Machinga hawakuwa na nguvu yoyote, walidekezwa na wanasiasa. Nilishangaa kusikia serikali imetenga billions to allocate wamachinga, huku hospitali nyingi hazina hata panadol, na madakitari wamegeuka kuwa watoa ushauri, consultants.
 
Wanasiasa toka siku nyingi huwa wanatafuta mitaji rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…